bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Na kwa nini ule hadharani mchana wa Ramadhani na sheria zao zinakataza ?Huo ni upumbavu na kukosa akili unamchapaje mtu mzima na akili zake kwani kama hajafunga wewe inakuhusu nini? Wazanzibar wanajikuta waislamu sana kuliko wengine. Kwahili hapana aisee.