Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Wewe ni mpumbavu akili zangu haziwezi fanana na zako shukuru hata nimekujibu.
Mjinga kama wewe hata hujui kitu ...ulivyokuwa mpumbavu hiyo ishu ni miaka sita nyuma tafuta pesa acha kuleta ujinga ,peleka kwa wazazi wako
20240329_120720.jpg
 
Kwamba Rais mpaka sasa haoni kile kinacho endelea Zanzibar ? Au kwa sababu ni watu wa imani yake na ndugu zake Wazanzibari ?

Mnataka mturudishe kwenye fujo za mabucha ya ng'ombe wakati wa Jakaya ?
Mnaoona kinachoendelea znz mmechukua hatua zozote? Mwaka kesho uchaguzi mkuu je, hamtamchagua Samia? Mkimchagua msije kulialia tena hapa kwamba haoni kinachoendelea.
 
Sheria za kishenzi hazina nafasi katika Jamhuri ya watu wote na wa dini zote na hata wale wasio na dini.

Na hata hiyo sheria nikikuambia unitajie hautaweza kufanya hivyo
Tuyaache yapite tutastaarabishana huko baadae, tuendako! (lakini si vizuri hata huku bara kula tu hadharani au kunywa tu hadharani, kula kwa kujistiri kidogo, mbona kuna waislamu hawafungi lakini kwa mwezi huu hula kwa faragha kidogo)
 
Acheni kukuza mambo zazibar ina haki ya kutunga by laws zake.
Tuambie hiyo ni by law gani ,ilitungwa mwaka gani na taasisi Ipi ,na watu hao wanaokula hadharani wakikamatwa hupelekwa wapi polisi au sehemu gani kabla ya kugikishwa mahakamani na wakipatikana na hatia nini adhabu Yao kwa mujibu wa hiyo subsidiary legislation naa kanuni.zake?
 
Wafia Dini unamaanisha Jihad Ile ya Waislamu au unamaanisha nini kuritad Adhabu yake kukatwa kichwa Si ndio?
Angalia Taliban, Boko haram kwa Waislamu halafu angalia Wamarekani kwa Wakristo. Israel kwa Wayahudi. Utagundua pande zote zinawafia dini.
 
Tuyaache yapite tutastaarabishana huko baadae, tuendako! (lakini si vizuri hata huku bara kula tu hadharani au kunywa tu hadharani, kula kwa kujistiri kidogo, mbona kuna waislamu hawafungi lakini kwa mwezi huu hula kwa faragha kidogo)
Ebwana huku tunakula hadharani nimetoka kula mihogo na mpemba bodaboda mmoja anaitwa TAUFIQ asubuhi hii kwa hio hatuna huo upumbavu huku
 
Kwani zanzibar asili yake ni watu gani?

Na je utamaduni huo wanaofuata wamerithishwa na mababu zao wa asili ya hapo au wamerithishwa na waliowatawala?
 
Hawezi fanya lolote itazua taharuki zaid! Some things need silence 🤫.
 
kwaresma ilipoanza,je ilikua ni kosa kula hadharani au ni wakati wa ramadhan ndo kosa kufanya hivyo!?
Kwaresma hausihani na kufunga chakula ni kufunga dhambi na kuacha kabisa kufanya toba na kujutia sio kushinda na njaa na kuvizia wanaokula ili uwapige fimbo
 
Kwa hio unataka kusema wa kulaumiwa ni CCM sio Waislamu?
Ni kwa sababu wao ndio wanaendelea kuilinda hiyo amri ya kuweka zuio la kula hadharani na si sheria ya kiislamu kama wengi wanavyozusha.

CCM ndio wenye serikali.
Ni sawa umkute muislamu jina analewa halafu unasibihishe ulevi na sheria za uislamu
 
Matatizo ya imani za kigeni. Ndio maana mimi nimeamua kubaki na Mungu wangu wa Kiafrika. We were told to write our God by using small letters. I will never do that.
 
Back
Top Bottom