Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,277
- 2,888
Haya umeshinda kaka kuwa na siku njema.Leta hilo tukio la Jana mboni macho yanakutoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya umeshinda kaka kuwa na siku njema.Leta hilo tukio la Jana mboni macho yanakutoka
huo ndio utovu wa kimaadili sasaHata kama nakula nje hapo kuna tatizo gani?. Kama utatamani basi wewe hujafunga , na ni mroho tuu wa misosi.
Kwa hio wewe unasema ni haki watu kupigwa na kuchapwa fimbo kwa kula kipindi cha mfungo wa Ramadhan? Nyie jamaa mboni mnapenda fujo huku mboni tunakula na wapemba na hatuwasumbui tena mchana kweupe nakwambia asubuhi hii nimetoka kula mihogo na mpemba muendesha bodaboda huku mtaani hajafunga na hakuna aliempiga fimbo au ndio ule msemo wa huku sio bara?
Ijumaa mabrukHaya umeshinda kaka kuwa na siku njema.
Wakristo wa wapi hao? Nitajie dhehebu au hata mkoa mmoja wanaopatikana hao wakristo.Acha kujidanganya kuna Wakristo wafia dini wanaweza kuleta machafuko kwenye hii Nchi. Wafia dini wako pande zote mbili.
Ina depend na circumstances kuna watu husika ambao watasolve, alaf mbon hizo inshu zimetokea sana miaka ya nyuma! Zanzibar imekaa kidini sana. Kauli ya rais ni kubwa sana akisema asolve kwa kufeva part moja lazima kuna mtafaruku mkubwa utatokea. Ukizingatia imani na dini ni vitu delicate sana. Mm naona ni bora waisolve watu husika na sio raisi.Hadi wauane,siyo?
Sheria za Nchi zipi wewe bwegemtozeni? Leta kifunguMbona unalia sasa. Fuata sheria za nchi acha kulalamika
LethergoMjinga kama wewe hata hujui kitu ...ulivyokuwa mpumbavu hiyo ishu ni miaka sita nyuma tafuta pesa acha kuleta ujinga ,peleka kwa wazazi wako View attachment 2948052
Much knowhuo ndio utovu wa kimaadili sasa
you must observe table manners, ukifanya tofauti usilalamike sasa unaporekebishwa kwa namna mbalimbali na wanaoheshimu table manners 🐒
ustaarabu ni kitu cha bure,
utovu wako wa kimaadili, usilete usumbufu wala usiathiri heshima na nidhamu za kula za watu wngine 🐒
Hata kukeketa wanawake nao ni utamaduni wa makabila fulani lakini tumeshauona ni wa kishenzi na unakatazwa.Sijui kama unaelewa maana?Ukimuona mwenzako mjinga basi na wewe jitafakari, yaweza kuwa wewe ni mjinga zaidi.
Kila jamii ina tamaduni zake na misimamo yake. Ukiona wewe huna njia unayoifuata basi ni rahisi sana kwako kupotea.
.
Ni kweli piaUkifika ugenini ishi Kwa kufuata Mila,tamaduni na Desturi zao hutabughudhika.Nipo Zanzibar toka 2012 (Mbongo) na shortly Zanzibar NI makazi yangu ya kidumu now and nienjoy wala sijawahi nyanyasika
Miaka 6 nyuma ipi?
Una uhakika ukiwa unapiga kitimoto yako hapo nje kwako bwana Josefu hakuna anakuchumia mianzi aanze kukuwashia mkong'oto?Ukifika ugenini ishi Kwa kufuata Mila,tamaduni na Desturi zao hutabughudhika.Nipo Zanzibar toka 2012 (Mbongo) na shortly Zanzibar NI makazi yangu ya kidumu now and nienjoy wala sijawahi nyanyasika
Usikubali kiboya.Kwa hiyo ukienda Mara au Manyara kutembea utawatoa mabinti zako wakeketwe?Ni kweli pia
ukweli ni kitu una sura ngumu sana saa zingine 🐒Much know
Sasa kwanini hamjakataza ushoga? Au sababu Papa nae anashiriki kwahiyo mkaona mpitishe tu. Wazee wa barakaHata kukeketa wanawake nao ni utamaduni wa makabila fulani lakini tumeshauona ni wa kishenzi na unakatazwa.Sijui kama unaelewa maana?
We tako ona video hiyo YouTube.Eti Video ya Zaman Funga mdomo wako mja laana wewe tukio lirpotiwe jna kwenye media useme siku nyingi wewe nawe hao Wananzibar watakuwa wanakufokowa
Hilo la ushoga waulizwe hao wa hapo Zanzibar.Sasa kwanini hamjakataza ushoga? Au sababu Papa nae anashiriki kwahiyo mkaona mpitishe tu. Wazee wa baraka