Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

Hata kama nakula nje hapo kuna tatizo gani?. Kama utatamani basi wewe hujafunga , na ni mroho tuu wa misosi.
huo ndio utovu wa kimaadili sasa

you must observe table manners, ukifanya tofauti usilalamike sasa unaporekebishwa kwa namna mbalimbali na wanaoheshimu table manners 🐒

ustaarabu ni kitu cha bure,

utovu wako wa kimaadili, usilete usumbufu wala usiathiri heshima na nidhamu za kula za watu wngine 🐒
 
Mbona unalia sasa. Fuata sheria za nchi acha kulalamika
Kwa hio wewe unasema ni haki watu kupigwa na kuchapwa fimbo kwa kula kipindi cha mfungo wa Ramadhan? Nyie jamaa mboni mnapenda fujo huku mboni tunakula na wapemba na hatuwasumbui tena mchana kweupe nakwambia asubuhi hii nimetoka kula mihogo na mpemba muendesha bodaboda huku mtaani hajafunga na hakuna aliempiga fimbo au ndio ule msemo wa huku sio bara?
 
Hadi wauane,siyo?
Ina depend na circumstances kuna watu husika ambao watasolve, alaf mbon hizo inshu zimetokea sana miaka ya nyuma! Zanzibar imekaa kidini sana. Kauli ya rais ni kubwa sana akisema asolve kwa kufeva part moja lazima kuna mtafaruku mkubwa utatokea. Ukizingatia imani na dini ni vitu delicate sana. Mm naona ni bora waisolve watu husika na sio raisi.
 
huo ndio utovu wa kimaadili sasa

you must observe table manners, ukifanya tofauti usilalamike sasa unaporekebishwa kwa namna mbalimbali na wanaoheshimu table manners 🐒

ustaarabu ni kitu cha bure,

utovu wako wa kimaadili, usilete usumbufu wala usiathiri heshima na nidhamu za kula za watu wngine 🐒
Much know
 
Ukifika ugenini ishi Kwa kufuata Mila,tamaduni na Desturi zao hutabughudhika.Nipo Zanzibar toka 2012 (Mbongo) na shortly Zanzibar NI makazi yangu ya kidumu now and nienjoy wala sijawahi nyanyasika
 
Ukimuona mwenzako mjinga basi na wewe jitafakari, yaweza kuwa wewe ni mjinga zaidi.

Kila jamii ina tamaduni zake na misimamo yake. Ukiona wewe huna njia unayoifuata basi ni rahisi sana kwako kupotea.
.
Hata kukeketa wanawake nao ni utamaduni wa makabila fulani lakini tumeshauona ni wa kishenzi na unakatazwa.Sijui kama unaelewa maana?
 
Ukifika ugenini ishi Kwa kufuata Mila,tamaduni na Desturi zao hutabughudhika.Nipo Zanzibar toka 2012 (Mbongo) na shortly Zanzibar NI makazi yangu ya kidumu now and nienjoy wala sijawahi nyanyasika
Ni kweli pia
 
Ukifika ugenini ishi Kwa kufuata Mila,tamaduni na Desturi zao hutabughudhika.Nipo Zanzibar toka 2012 (Mbongo) na shortly Zanzibar NI makazi yangu ya kidumu now and nienjoy wala sijawahi nyanyasika
Una uhakika ukiwa unapiga kitimoto yako hapo nje kwako bwana Josefu hakuna anakuchumia mianzi aanze kukuwashia mkong'oto?
 
Hata kukeketa wanawake nao ni utamaduni wa makabila fulani lakini tumeshauona ni wa kishenzi na unakatazwa.Sijui kama unaelewa maana?
Sasa kwanini hamjakataza ushoga? Au sababu Papa nae anashiriki kwahiyo mkaona mpitishe tu. Wazee wa baraka
 
Eti Video ya Zaman Funga mdomo wako mja laana wewe tukio lirpotiwe jna kwenye media useme siku nyingi wewe nawe hao Wananzibar watakuwa wanakufokowa
We tako ona video hiyo YouTube.
b3558b144e2d3852d1129e7f52c5912b.png
 
Back
Top Bottom