Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wanadokoana thumni zao tu bila bugudha.Ila ushoga ruksa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanadokoana thumni zao tu bila bugudha.Ila ushoga ruksa
wamejawa na roho mchafu wa IS,alshabab na boko haramHawa watu ni wabaguzi sana. Mioyo yao imejaa na kusheheni chuki za wazi dhidi ya watu wa bara.
Na jinsi walivyojazana huku bara siku muungano ukivunjika sijui watajificha wapi
Wamarekani. Tanzania pia wapo na tukiendelea na hizi issue za Zanzibar wataanza kujitokeza tu. Suala la muda.Wakristo wa wapi hao? Nitajie dhehebu au hata mkoa mmoja wanaopatikana hao wakristo.
kwa chuki kama hiyo kesho kwanini mtu asijitoe muhanga awalipue hao mafirauniHawa wakazi wa huko visiwani na viongozi wa huko ni wapumbavu sana. Wanajiona wao ni watu special sana. Sijajua kwann mamlaka zinawachekea takataka hawa.
Hadi polisi wa huko visiwani wanashirikiana na hawa raia kufanya ufala. Hizi sio tabia za kuungwana na sio sehemu ya tamaduni zetu sisi waafrika.
🤣🤣🤣Wamarekani.
Wenzio sasa wanavoongea utadhani zanzibar haina mtu wa bara hata mmoja, watu wengine wanafujo la maksudi. Kuna wadada wasio waislam wanavaa baibui na hijabu hata husemi km sio waislam.Ukifika ugenini ishi Kwa kufuata Mila,tamaduni na Desturi zao hutabughudhika.Nipo Zanzibar toka 2012 (Mbongo) na shortly Zanzibar NI makazi yangu ya kidumu now and nienjoy wala sijawahi nyanyasika
Huko Zbar wanapolazimisha watu kushinda njaa kisa dini ya mwarabu ndio kunaongoza kwa matendo ya laana ya ufiraji na ushoga/ubasha.Kuna dharau kubwa kama ile ya mzungu kutoka zake huko Vatican na kuja kukulazimisha ufunge Kwa lazima ndoa uolewe upigwe mashine?
Yaani mwanaume kabs unalazimishwa uinamishwe,kuna dharau zaidi ya hapo?
Unacheka? Unadhani jamaa wanavyoshusha mabomu huko Uarabuni ni kwa bahati mbaya. Ni udini tu. Pande zote zina udini. Sasa ndugu zetu wa Zanzibar hawajui hilo wanawapa sababu wapenda udini kwa upande wa ukristo ku rally Wakristo dhidi yao. Halafu nini kitafuata?
Hizi taratibu zimewekwa kwa misingi gani?Wenzio sasa wanavoongea utadhani zanzibar haina mtu wa bara hata mmoja, watu wengine wanafujo la maksudi. Kuna wadada wasio waislam wanavaa baibui na hijabu hata husemi km sio waislam.
Tatizo ni hawa mamluki wanaotaka kukaa sehemu then wasifuate taratibu. Tumekaa na majirani wasio Islam kwa miaka na mpk iftaar Ramadhan tunawakaribisha. Zanzibar asilimia kubwa ya waschana wa kazi za nyumbani no from bara mbona hawafungi na wanakula majumbani hawabughudhiwi
Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania hairuhusu hiloHizi taratibu zimewekwa kwa misingi gani?
Busara?
Katiba?
Ni msingi upi uliotumika kuweka hizo taratibu?
Acheni kukuza mambo zazibar ina haki ya kutunga by laws zake.
Si wana magorofa yao mengi tu wamejenga huko au mmepanga muyachukue!!!? Tofauti watu wa bara wanaokaa huku, wengi wanakaa kwenye magofu ya nyumba za wapemba zilokuwa hazijesha kujengwa!!!!!Hawa watu ni wabaguzi sana. Mioyo yao imejaa na kusheheni chuki za wazi dhidi ya watu wa bara.
Na jinsi walivyojazana huku bara siku muungano ukivunjika sijui watajificha wapi
Soma nilichoandika Kabla ya kucomment Popoma wewe ..Sa kwanini Nile hadharani Wakati tamaduni na Desturi zao haziruhusu?....Huwa watumia akili kuwaza ama kinyesi cha nguruwe?Una uhakika ukiwa unapiga kitimoto yako hapo nje kwako bwana Josefu hakuna anakuchumia mianzi aanze kukuwashia mkong'oto?
Hizo by Laws zinatakiwa zisikiuke misingi ya Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania,Acheni kukuza mambo zazibar ina haki ya kutunga by laws zake.
Sijapinga ila ziko wapi? Jes sheria hizo ni applicable kwa muungano?Polisi wamesema ni kinyume cha sheria za Zanzibar ,sasa wewe unapinga nn?😅😅
In fact NI wapumbavu... mbona watalii WA kizungu wanafanyiwa briefing na wengi wao wanafuata na kufurahia kabisa huo utaratibu...bakora NI Haki YaoWenzio sasa wanavoongea utadhani zanzibar haina mtu wa bara hata mmoja, watu wengine wanafujo la maksudi. Kuna wadada wasio waislam wanavaa baibui na hijabu hata husemi km sio waislam.
Tatizo ni hawa mamluki wanaotaka kukaa sehemu then wasifuate taratibu. Tumekaa na majirani wasio Islam kwa miaka na mpk iftaar Ramadhan tunawakaribisha. Zanzibar asilimia kubwa ya waschana wa kazi za nyumbani no from bara mbona hawafungi na wanakula majumbani hawabughudhiwi
Kama hazina nafasi njoo huku znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua hujui karibu znzSheria za kishenzi hazina nafasi katika Jamhuri ya watu wote na wa dini zote na hata wale wasio na dini.
Na hata hiyo sheria nikikuambia unitajie hautaweza kufanya hivyo
Sheria za znz ni kosa kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaMtu kula chakula chake kwa hiyari yake na njaa yake ni uhalifu kwa kipengele kipi kisheria ya Tanzania?
Tamaduni, asilimia zaidi ya 90 ya wazanzibari ni Muslims. Na Quran imeandika tumefaradhishiwa kufunga mwezi wa Ramadhani. Issue ni kutokula hadharani. Mbona wapo hata walio waislam zanzibar hihii hawafungi wanajipikia majumbani na wanakula fresh tu hawabughudhiwi na mtu muhimu stara tu hakuna haja ya kufanya fujo. Hata migahawa haifunguliwi we unakula hadharani icho chakula umekitoa wapi kama sio fujoHizi taratibu zimewekwa kwa misingi gani?
Busara?
Katiba?
Ni msingi upi uliotumika kuweka hizo taratibu?
Wacha porojo tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaWakristo ni watu wenye hekima, busara, wastahimilivu na civilized sana nahisi pengine ni kwasababu ya mafundisho kwenye biblia.