Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Mjinga kama wewe hata hujui kitu ...ulivyokuwa mpumbavu hiyo ishu ni miaka sita nyuma tafuta pesa acha kuleta ujinga ,peleka kwa wazazi wakoWewe ni mpumbavu akili zangu haziwezi fanana na zako shukuru hata nimekujibu.
Mnaoona kinachoendelea znz mmechukua hatua zozote? Mwaka kesho uchaguzi mkuu je, hamtamchagua Samia? Mkimchagua msije kulialia tena hapa kwamba haoni kinachoendelea.Kwamba Rais mpaka sasa haoni kile kinacho endelea Zanzibar ? Au kwa sababu ni watu wa imani yake na ndugu zake Wazanzibari ?
Mnataka mturudishe kwenye fujo za mabucha ya ng'ombe wakati wa Jakaya ?
Tuyaache yapite tutastaarabishana huko baadae, tuendako! (lakini si vizuri hata huku bara kula tu hadharani au kunywa tu hadharani, kula kwa kujistiri kidogo, mbona kuna waislamu hawafungi lakini kwa mwezi huu hula kwa faragha kidogo)Sheria za kishenzi hazina nafasi katika Jamhuri ya watu wote na wa dini zote na hata wale wasio na dini.
Na hata hiyo sheria nikikuambia unitajie hautaweza kufanya hivyo
Serikali ya Nchi ya Zanzibar kwani haipo kwenye muungano? Kwanini waseme huku sio bara?Ni sheria za nchi ya Zanzibar. Sasa unataka kupingana na Serikali?
Tuambie hiyo ni by law gani ,ilitungwa mwaka gani na taasisi Ipi ,na watu hao wanaokula hadharani wakikamatwa hupelekwa wapi polisi au sehemu gani kabla ya kugikishwa mahakamani na wakipatikana na hatia nini adhabu Yao kwa mujibu wa hiyo subsidiary legislation naa kanuni.zake?Acheni kukuza mambo zazibar ina haki ya kutunga by laws zake.
ujinga ni mzigo mzito sana kuliko hata gunia la misumariHua nacheka nikimuona mswahili yupo busy kuongea kiarabu alf anajiona maisha ameyapatia kinyama
Angalia Taliban, Boko haram kwa Waislamu halafu angalia Wamarekani kwa Wakristo. Israel kwa Wayahudi. Utagundua pande zote zinawafia dini.Wafia Dini unamaanisha Jihad Ile ya Waislamu au unamaanisha nini kuritad Adhabu yake kukatwa kichwa Si ndio?
Ukiiona hiyo serikali uiambie ni ya kijinga na wajinga sana.Iambie nimesema mimi ili wasikudunde.Ni sheria za nchi ya Zanzibar. Sasa unataka kupingana na Serikali?
kwaresma ilipoanza,je ilikua ni kosa kula hadharani au ni wakati wa ramadhan ndo kosa kufanya hivyo!?Mkuu wewe unataka kuwatungia sheria nchini kwao, acheni mihemuko.
Ebwana huku tunakula hadharani nimetoka kula mihogo na mpemba bodaboda mmoja anaitwa TAUFIQ asubuhi hii kwa hio hatuna huo upumbavu hukuTuyaache yapite tutastaarabishana huko baadae, tuendako! (lakini si vizuri hata huku bara kula tu hadharani au kunywa tu hadharani, kula kwa kujistiri kidogo, mbona kuna waislamu hawafungi lakini kwa mwezi huu hula kwa faragha kidogo)
Zanzibar ni nchi sio mkoa. Ipo kwenye muungano ndio ila pia ina sheria zake ambazo hazipo kwenye muungano.Serikali ya Nchi ya Zanzibar kwani haipo kwenye muungano? Kwanini waseme huku sio bara?
Na nyie acheni kujazana ujinga na kuanza kukashfuana. Ile video ni ya zamani sana. Ebu tumieni hivyo vichwa kufikiria na acheni mihemko.Nimeona video jamaa anapigwa kwa kula mchana,wanamuambia huku sio Bara
Uislam ni kazi sana 😀😇
Kwaresma hausihani na kufunga chakula ni kufunga dhambi na kuacha kabisa kufanya toba na kujutia sio kushinda na njaa na kuvizia wanaokula ili uwapige fimbokwaresma ilipoanza,je ilikua ni kosa kula hadharani au ni wakati wa ramadhan ndo kosa kufanya hivyo!?
kwaresma ilipoanza,je ilikua ni kosa kula hadharani au ni wakati wa ramadhan ndo kosa kufanya hivyo!?Ni sheria za nchi ya Zanzibar. Sasa unataka kupingana na Serikali?
Hadi wauane,siyo?Hawezi fanya lolote itazua taharuki zaid! Some things need silence 🤫.
Ni kwa sababu wao ndio wanaendelea kuilinda hiyo amri ya kuweka zuio la kula hadharani na si sheria ya kiislamu kama wengi wanavyozusha.Kwa hio unataka kusema wa kulaumiwa ni CCM sio Waislamu?