Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

kwa chuki kama hiyo kesho kwanini mtu asijitoe muhanga awalipue hao mafirauni
 
Ukifika ugenini ishi Kwa kufuata Mila,tamaduni na Desturi zao hutabughudhika.Nipo Zanzibar toka 2012 (Mbongo) na shortly Zanzibar NI makazi yangu ya kidumu now and nienjoy wala sijawahi nyanyasika
Wenzio sasa wanavoongea utadhani zanzibar haina mtu wa bara hata mmoja, watu wengine wanafujo la maksudi. Kuna wadada wasio waislam wanavaa baibui na hijabu hata husemi km sio waislam.
Tatizo ni hawa mamluki wanaotaka kukaa sehemu then wasifuate taratibu. Tumekaa na majirani wasio Islam kwa miaka na mpk iftaar Ramadhan tunawakaribisha. Zanzibar asilimia kubwa ya waschana wa kazi za nyumbani no from bara mbona hawafungi na wanakula majumbani hawabughudhiwi
 
Kuna dharau kubwa kama ile ya mzungu kutoka zake huko Vatican na kuja kukulazimisha ufunge Kwa lazima ndoa uolewe upigwe mashine?

Yaani mwanaume kabs unalazimishwa uinamishwe,kuna dharau zaidi ya hapo?
Huko Zbar wanapolazimisha watu kushinda njaa kisa dini ya mwarabu ndio kunaongoza kwa matendo ya laana ya ufiraji na ushoga/ubasha.
 
🤣🤣🤣
Unacheka? Unadhani jamaa wanavyoshusha mabomu huko Uarabuni ni kwa bahati mbaya. Ni udini tu. Pande zote zina udini. Sasa ndugu zetu wa Zanzibar hawajui hilo wanawapa sababu wapenda udini kwa upande wa ukristo ku rally Wakristo dhidi yao. Halafu nini kitafuata?
 
Hizi taratibu zimewekwa kwa misingi gani?
Busara?
Katiba?
Ni msingi upi uliotumika kuweka hizo taratibu?
 
Hawa watu ni wabaguzi sana. Mioyo yao imejaa na kusheheni chuki za wazi dhidi ya watu wa bara.

Na jinsi walivyojazana huku bara siku muungano ukivunjika sijui watajificha wapi
Si wana magorofa yao mengi tu wamejenga huko au mmepanga muyachukue!!!? Tofauti watu wa bara wanaokaa huku, wengi wanakaa kwenye magofu ya nyumba za wapemba zilokuwa hazijesha kujengwa!!!!!
 
Una uhakika ukiwa unapiga kitimoto yako hapo nje kwako bwana Josefu hakuna anakuchumia mianzi aanze kukuwashia mkong'oto?
Soma nilichoandika Kabla ya kucomment Popoma wewe ..Sa kwanini Nile hadharani Wakati tamaduni na Desturi zao haziruhusu?....Huwa watumia akili kuwaza ama kinyesi cha nguruwe?
 
In fact NI wapumbavu... mbona watalii WA kizungu wanafanyiwa briefing na wengi wao wanafuata na kufurahia kabisa huo utaratibu...bakora NI Haki Yao
 
Hizi taratibu zimewekwa kwa misingi gani?
Busara?
Katiba?
Ni msingi upi uliotumika kuweka hizo taratibu?
Tamaduni, asilimia zaidi ya 90 ya wazanzibari ni Muslims. Na Quran imeandika tumefaradhishiwa kufunga mwezi wa Ramadhani. Issue ni kutokula hadharani. Mbona wapo hata walio waislam zanzibar hihii hawafungi wanajipikia majumbani na wanakula fresh tu hawabughudhiwi na mtu muhimu stara tu hakuna haja ya kufanya fujo. Hata migahawa haifunguliwi we unakula hadharani icho chakula umekitoa wapi kama sio fujo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…