Kwanini 99.9% ya waliokamatwa kwa tuhuma za makosa ya Ugaidi ni Waislam?

View attachment 3007905
Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum katika mkutano huo wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) ametoa muhadhara na kusisitiza viongozi wa kidini Tanzania hawana kabisa mashaka na serikali
Ndugu mimi nina mashaka makubwa na watendaji wa serikali.

Ndie nikieleta mada.

Tujadili kama huna dodoso huna haja ya kujibu au kuandika chchte
 
Nilijua kuwa dodoso litaakisi yale unayoyataka.Ahsante
 
We mpumbavu huna ujualo...Aya moja ya Qur'an inaweza kuchambuliwa kutwa nzima, ni mafumbo mazito yaliyobeba maana nzito zilizo positive kwa maslahi na mustakabali salama wa maisha ya wanadamu wote. Chuki za kidini na kumezeshwa ujinga zitakuua ukiwa mbumbumbu na ukweli huujui.

Wasomi wakubwa wa kimataifa walioamua kuisoma na kujua vilivyomo kwenye Qur'an mwisho wa siku waliishia kulia na kusilimu, hivi leo ni washika dini kwelikweli! Huwaelezi kitu kuhusu uislam.

Ubaguzi, Uchoyo, Usengenyaji, Fitna, Umbea, Ukorofi, ushenzi, uhuni, ukatili n.k ni hulka na kariba ya mtu au jamii fulani ya watu. Ni damu itembeayo kwenye vinasaba, usitupie lawama moja kwa moja kwa Uislam. HAUFUNDISHI HIVYO! WANAOAMUA KWENDA AGAINST NI WENDAWAZIMU WAO TU!...

Uislam si ugaidi kama mnavyodanganywa na usitafsiri aya kutoka kwenye vitabu takatifu kwa maana rahisi rahisi... Ni dalili za utaahira!
 
Safi sana. Umeelewa mada na kujibu vema
Sio kuelewa Mada tu.

Dunia yote ilishuhudia Magaidi wa Boko Haramu walivyo wateka wasichana wa secondari huko Nigeria.

Kitu cha kwanza waliwasilimisha na kuwa Waislamu na walikuwa wanawatoa hadi kwenye video wakioneka wakifundisha hiyo dini huku wamevaa hijabu.

Somalia kuna kijiji cha
Al-Shababu. Kuna wilaya moja wameiteka na ipo chini yao kiutawala.

Hicho kijiji kinaongozwa na sheria na taratibu zote za dini ya Kiislamu yaani Sharia.

Nenda Youtube andika
A-Shaabab Village in Somalia.
Utakiona hicho kijiji.

Kama huviamini vyombo vya habari, vyombo vya ulinzi na usalama vya ndani na nje ya nchi, unatusibitishiaje sisi kuwa dodoso lako litaleta majibu ya uhakika ?

Dodoso linahusu mambo ya uhalifu wa Kigaidi.
Wewe unawadodosa watu ambao hawana elimu, ujuzi na uzoefu wa Ulinzi na usalama, huoni kuwa dodoso lako litakuwa na maoni tu ya watu wa kawaida na sio FACTS.

Magaidi wenyewe wanakiri kuwa ni Waislamu na mala nyingi wanabeba bendelea ya mtume wao ikiwa imeandikwa Shahada ya dini ya Kiislamu.

Walipo vamia chuo kikuu cha Kenya Garisa. Mashuhuda walisema waliwatenga wanafunzi Wakristo na Waislamu na kuwaua Wakristo huku Waislamu wakiachwa.

Ubarozi wa Marekani Kenya na Tanzania ulilipuliwa na Waislamu.

Magaidi wa MKIRU walijificha katika jamii ya Kiislamu na kule Tanga pia.

Ukweli ni kuwa hao Waislamu ni wenye msimamo mkali wanataka maisha yaendeshwe kwa sharia tu.

Waislamu wa kawaida, (moderate) hao ndio kama wewe. Hawana ile nia kubwa ya kuishi maisha ya Sharia. Hao hawapendi kabisa vitendo vya Kigaidi.
Na wanaumia sana Uislamu unavyo chafuliwa na Magaidi.
Kuna Aya nimesahau ilipo inasema,
"Hakuna kulazimisha mtu awe Mwislamu"
Magaidi hii Aya hawaifuati kabisa.

Sasa basi.
Kutokana na kueleweka kuwa Magaidi wengi wanao lipua lipua wananchi na mali zao kuwa ni wa Dini ya Kiislamu?

Kukitokea tukio la Kigaidi vyombo vya ulinzi na usalama vina anza kupata wazo kuwa, hapa huenda wahusika watakuwa walewale waislamu wenye msimamo mkali. (extremists)

Kama hivyo vyombo vya ulinzi na usalama havitakuwa na taaluma ya kutosha ya fani yao, kuna uwezekano mkubwa wa wasio na hatia kujumuhishwa kwenye washukiwa wa hilo tukio la kigaidi.
Yaani Waislamu wasio husika na hilo tukio.
Hivi ndivyo hali ilivyo.

Dodoso lako halitakuwa na mashiko kwakuwa watu watakao lijaza hawana taaluma wala uzoefu wa mambo ya ulinzi na usalama.

لَا إِكْرَاهَ فِي الدِّينِ ۖ قَد تَّبَيَّنَ الرُّشْدُ مِنَ الْغَيِّ ۚ فَمَن يَكْفُرْ بِالطَّاغُوتِ وَيُؤْمِن بِاللَّهِ فَقَدِ اسْتَمْسَكَ بِالْعُرْوَةِ الْوُثْقَىٰ لَا انفِصَامَ لَهَا ۗ وَاللَّهُ سَمِيعٌ عَلِيمٌ


[ AL - BAQARA - 256 ]
Hapana kulazimisha katika Dini. Kwani Uwongofu umekwisha pambanuka na upotofu. Basi anaye mkataa Shet'ani na akamuamini Mwenyezi Mungu bila ya shaka amekamata kishikio madhubuti, kisicho vunjika. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua.
 
Kuna taarifa zinazidi kuonesha yale mazoezi mnayofanya beach na kwenye shule au vyuo vyenu, mazoezi ya shorati na judos ni kwa minajili gani????

Kwenye dodoso lako la kujustify weka hilo swali maalimu????
 
Umevurugwa
 
Kuna taarifa zinazidi kuonesha yale mazoezi mnayofanya beach na kwenye shule au vyuo vyenu, mazoezi ya shorati na judos ni kwa minajili gani????

Kwenye dodoso lako la kujustify weka hilo swali maalimu????
Dodoso lake halijataka kujua nini ni chanzo cha ugaidi na kwa nini watu wanahusisha uislamu na ugaidi wala halijataka kuhoji kwa nini likitokea shambulio la ugaidi viongozi wa kiislamu hawashutumu.
Halijataka kujua nani anarecruit vijana kuwa magaidi na wala thawabu kwa maana ya malipo ya vijana wanaojiunga na ugaidi yanafadhiliwa na nani.
Halijataka kujua dhima ya magaidi ni kujikomboa kutoka kwenye kukandamizwa au ni kutaka sharia za kiislamu zitumike ili kupata political legitimacy.
 
🚮 🚮 🚮 🚮 🚮
Mbona wewe ndo mpumbavu og?!!
 
Nakuelewa sana.

Hata hivyo taaluma maana ni kufanya mambo ambayo akili inakubali kuwa una maarifa ya jambo hilo.

Kama uatangazwa kuna Tanzania lkn kamata kamata yao haionyeshi kuwa vyombo vya habari vina taalum hiyo, hauhitaji digree kujua ukamataji huo ni wa kosa la ugaidi wa kutengenezwa.

False Flag.

Ili uelewe zaidi hebu soma tukio la mlipuko wa bomu kanisani Arusha. Kijana aliyeonekana kurusha bomu hilo aliwa amevaa kanzu na kofia, na baada ya kulirusha akaanza kutimua maio. Wananchi wenye hasira wakamkamata, kabla hawajamchoma moto askari wakajitokeza na kumuoa kwenye mikono ya wananchi wenye hasira. Baada ya kuhojiwa alitambika jina la kijana huyo ni Victor Ambrose Calist. Image kwa tasirwa na hisia za haraka haraka, kijana aliyevaa kanzu ndie aliyerusha bomu. Huyo kijana wanakuwa ni wa dini gani. Lkn baada ya kuhojiwa ilikuja bainika kuwa alikuwa ni mkristo.

Lkn nini matokeo yake baada ya kukamatwa na kufikishwa mahalamani. Kulitokea Kamata kamata ya mashekhe arusha na walikaa ndani zaidi ya miaka 10. Na mwisho wa siku wameachiwa huru huku wengine wakitoka vilema. Huku yule aliyeshuhudiwa akirisha bomu hatujui hatima yake ilikuwaje.

Jamii ikiamini sheria ya ugaidi imetungwa kwa ajili ya waislam nitakuwa na makosa gani.

Jamii hiyo hiyo ukitaka ufanyike utafiti kubaini fact ya kwanini arusha waliokamatwa waislam na kuachiwa aliyeonekana akirusha bomu kwa kuwa alikuwa mkristo kuna kosa gani.

utalaamu bandia wa mambo ya kiuslama unamaana gani ktk kutafuta fact kupitia tafiti ndugu.

Zipo hisia kuwa wimbi la kukamatwa waislam kwa kosa la ugaidi ni kisasi kwa kuwa waislam huwaita makafiri. Neno ambao linawaudhi kupita maelezo. Na kwamba siku waislam watapoacha kuwaita wenzao makafiri ndio siku ambayo kamata kamata ya watuhumiwa wa ugaidi itakwisha
 
Wewe naye mzazi wako anasimama mbele ya wenzie anajisifu kuwa alisomesha!Hatari sana,
Kwamba kutokana na usomi wako unataka tujue kuwa ugaidi hakuna ila ni false flag eeeeh
Kwamba kila kinachofanyika kwa magaidi ni uzushi tuu wa mzungu na wakristu lakini magaidi ni waislamu wazuri waliopewa jina baya.
Kwamba ugaidi ni jina walilopewa waislam ili kuuchafua uislam kwa kuwa makafiri wanauonea wivu?
Unapata kabisa ujasiri wa kuongea na watu wenye uelewa ukiamini sisi tutauangalia uislam kwa macho yako na matamanio yako huku tukiwa na madonda ya kaka na ndugu zetu kuuwawa na magaidi ya Kiislam?
Na wewe unasimama kwa wenzio huko misikitini unaongea na wao wanakuona wewe ni msomi kabisa.
Kwa namna unavyotaka kufanya utafiti wako whether qualitative or quantitative nachelea kusema bila hofu kuwa kupitia wewe waislamu wamepigwa na wana hasara.
Methodology ya utafiti wako tu inanifanya nikucheke.
Anyway tuendelee kusubiri vichekesho vya mtu anayejitekenya halafu anacheka
 
Ndugu nashukuru umeanza kujielewa. Na sample za dodoso zako nitazoongeza.

Bila kujuchisha fungua link ya gazeti ya kisha cha bola lililopuka kanisani arusha, mashuhuda waliomuona mrusha bomu, lkn badae wakaja kukamatwa waislam. Hawakuwepo kwenye tukio. Lkn muhusika na mtupa bomu hatujui imeishia wapi.


View: https://www.scribd.com/doc/244694287/ANNUUR-1148

 
Kuna ndugu yangu aliuawa kanisani Olasit Arusha. Na wahusika walikuwa Waislam. Sasa sijui wao ni magaidi au ni sehemu ya ibada walikuwa wanatekeleza.

Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi kwa kweli
Hiyo kwao ni zaidi ya ibada bro,yaani kama alikuwa apate 60/100 hapo anaamini akifika kwa alahu atazawadiwa 100/100.

Waislam wa bongo ni wanafiki hujifanya hilo hawajaruhusiwa lakini wote huitamani hiyo nafasi.pole sana kwa msiba wa nduguyo
 
Sijasoma hata,lakini ni Dini ya hovyo haihubili Amani Wala upendo kwa Binadamu wote.Hivyo Wacha wanaozidisha upuuzi moto uwahusu.Nikiwa Rais mwenye Nia ya kuleta uvunjifu wa Amani hususani kwa jia ya Dini ni Shaba Haraka.
 
Umeona sasa.
Yule kijama pamoja na kutokuwa Mwislamu lakini alishikiliwa na Polisi.
Shida ni wananchi walimwona akirusha bomu ndio maana walimkimbiza.
Sio kwamba Magaidi wote ni Waislamu.
Ila hao lipua lipua wengi wanaratibiwa na waislam extremists.
Wapo Wakristo Wayahudi na dini nyingine wanao ajiriwa na makundi ya kigaidi hasa wenye taaluma za milipuko na ujuzi unaotakiwa.
Ila utalazimishwa usilimu ili wakuamini.
Waislamu wengi sana ni wastaarabu sana ila hao wachache wenye siasa kali ndio tatizo.
Na ndio wanaoleta fujo.
Na wenyewe ndio wanao jitanabahisha kuwa ni waislamu kamili.
Ili uwe mwislamu kamili ni lazima uishi katika taratibu za sharia na sio hiari.
Poleni sana waislamu wa kawaida kwa kuvumilia shutuma nyingi za kujumuishwa wote kwenye matendo ya Kigaidi.
Nawajua wengi wenu ni watu wema sana sana.🙏🌷
 
Shukran sana. Napenda kujadiliana watu kama wewe. Umeiacha akili yako huru.

Sasa ishu ya arusha kwetu ni case study. Kijana wa kikristo kakamatwa. Lkn hata hivyo hakukaa sana ndani. Na hadi leo hatujui hatima yake. Bali kuna dalili zote kuwa aliachiwa huru au hata kutoroshwa.

Tatizo ni kwanini walikwenda kukamatwa waumini wa kiislam. Wakawekwa ndani polisi/serikali ya ccm wakijua kabisa hawana ushahidi. Lkn kesi yao ikicheleweshwa kwa makusudi. Hadi wakakaa ndani miaka 10. Huku wakipewa adhabu kali, kuobiwa pesa na wengine kuumizwa na kusababushwa kuwa ulemavu. Juzi baada ya kuingia mama Samia na kuagiza watuhumiwa wote wa kesi za UONEVU waachiwe huru. Ndipo vyombo vyote vya serikali mahakama, dpp wakawafutia kesi.

Aina gani ya watendaji wa serikali tulionao. Ni wavuta bangi, wana chuki za kidini? Au tuwaeleweje.

Case study ni nyingi za kesi za ugaidi. Kule kilwa mashekhe walinyolewa ndevu kwa moto, mmoja akatolewa jicho.

Baada serikali ikawaachia huru.

Hivi tunaweza kusema serikali unafanya hivyo. Au ni watendaji wa serikali ndio wanazofanya hayo. Kama ni watendaji wanazofanya hayo kwa kupitisha ajenda zao binafsi zenye viashiria vya chuki na kibaguzi nini tufanye.
Iwapo jamii ya waislam hatuwaamini tena serikali nini kifanyike.

Ndio maana tunaona kuna haja ya kufanya tafiti. Lkn ili isionekane waathiriwa wa ugaidi wametengeza tafiti ya mchongi. Ndio maana nimeonelea kushirikisha jamii tupate dodoso za pamoja isiyoegemea upande wowote wa imani.

Je unadhani ina make sense utafiti huo. Unazo dodoso tuzijumuishe ktk utafiti huo. Ili kubaoni kama kweli Tanzania kuna magaidi, au kuna ugaidi wa kutengenezwa.


Ni majanga kuwa na serikali yenye watendaji kama watoto wa mtaani (wakora) namna hii
 
Kuna mstari mwembamba Sana unaotenganisha kati ya Uislamu na Ugaidi
 
Hapana issue ikihusu marinda tu,hiyo ni ya Allah,Muhama,na abdools.
Wewe juzi yesu na papa si wamejitokeza hadharani hadi kwenye TV wameonueshwa wakiwaamrisha makafiri wote muwe mashoga? Hukuona ile video inawaonyesha wanatoana rinder live kanisani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…