Kwanini 99.9% ya waliokamatwa kwa tuhuma za makosa ya Ugaidi ni Waislam?

Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli ugaidi upo na waliotuhumia na kukaa ndani zaidi ya miaka 5 kuna aliyekutikana na makosa hayo na kutumikia adhabu.

Jamii ya Kiislamu itaendelea kuuthibitishia umma kwa ni jamii isiyo na hatia kwa kuongozwa na:
• Kindness
• Trustworthiness
• Unselfish generosity
• Humility
• Great manners
• Self-awareness and courage
• Integrity and benevolence

Hata hivyo bado waislam wangependa kutafiti ya kisayansi na kupitia tafiti hiyo kujustify kamata kamata ya waislam kwa tuhuma za Ugaidi kama kuna usahihi wowote au kuna chuki na ubaguzi.

Ndugu mkumbuke majibu yenu yataakishi fikra za watendaji wa serikali wenye imani sawa na imani zenu.

Iwapo maamuzi yao yanaathiriwa na imani zao binafsi walizozaliwa na mafundisho ktk majumba yenu ya ibada.

Tunataka kuone mipaka ya kisheria dhidi ya watendaji wanazofanya maamuzi kwa kuongozwa na imani yake kwa migongo wa serikali.

Wakili msomi Maledeka kwa kutumia weledi na ubobezi kaamua kuwasaidia watuhumiwa na kuuthibitishia umma kuwa kuna hatari kama taifa kutumia hisia au hasira kutaka kuwadhibiti jamii kwa kutumia sheria zenye viashiria vya ubaguzi. Na matokeo yake nguvu kazi na pesa za walipa kodi inatumika kwa matumizi yasiyo na sababu.

Wakili msomi Madeleka amejaribu kutoa rai kuhusiana yenye maslahi mapana kwa taifa. Nasikia rai hiyo kuanzia dkk ya 7 ya clip hii.

View: https://youtu.be/72rIuu-GSf0?si=YgXX61_IVXyjaAxT

Lengo la tafiti hii ni kutaka Maridhiano ya kitaifa ili kama ukamataji wa watuhumiwa uko una justification sheria hii iendelee, lkn kama kuna mapungufu basi sheria hii ifanyiwe marekebisho au ifutwe kabisa ili sheria ya uhalifu itumike kama MBADALA.

Utafiti huu tuwahusishe wadau wakuu wa kusimamia na kudhibiti ugaidi kama idara maalum ya kuzuia ugaidi, jeshi la polisi, jeshi la kimataifa (Interpol), ubalozi wa Marekani, familia zilizoathiriwa na kamata kamata.

Naomba ushirikiano wako kwa kutueleza;-

1. Je, kisheria inaruhusia kwa taasisi ya kidini kuja na utafiti wa aina hii.

2. Unaweza dondoa ni maswali gani ya kuuliza kama dodoso katika utafiti huo.

Ili utafiti uje kutuletea majibu sahihi na thabit yenye kusaidia taifa

3. Nani anaishi katika mazingira ambayo jirani zake wamekamatwa kwa makosa ya ugaidi.

4. Je ungependa kushiriki kwa namna moja ktk tafiti hii.

Karibuni kwa michango yenye nia ya kujenga kwa maslahi mapana ya taifa.

Nihitimishe kwa kusema binafsi naamini tz kuna ugaidi wa kutengenezwa. False Flag Terror.

Case study ni kesi ya watuhumiwa wa bomu arusha mwaka 2013. ambapo baada tu ya mlipuko kutokea alionekana kijana aliwa Amelia kanzu na kofia akikimbia. Wasamaria wema walimkimbiza na kumkamata, baada ilikuja fahamika anaitwa Ambrose Victor Calist. Hata hivyo haijulikana kwanini polisi walikuja kuwakama mashekhe zaidi ya 10 ambao baada ya kukaa ndani kwa miaka 10, mwaka huu wameachiwa huru kwa kuonekana hawakuhusika.

Jiulize Ambrose Victor Calist yuko wapi, kesi yake imeishaje, alitumwa na nani. Lengo lilikuwa ni kuwakamata nani.

DINI INARUHUSU SANA NA KUTIA MOYO JAMBO HILI NA AHADI ZAKE NI NZURI KWA MYU AMBAYE ATAKUWA NI GAIDI.
 
Je ni kwanini Magaidi wanawatumia Waislamu.
Awe Muamerika au Muiran.
Matukio mengi ya Ugaidi tufanye yanayo ripotiwa na FBI watuhumiwa ni Waislamu.

Ubalozi wa Merekani Tanzania na Uganda ulilipuliwa na Waislamu.
Juzi Urusi Waislamu wameuwa watu na vilipuzi.
Yaani kuna maelfu vikundi vya kigaidi vinavyo tokea kwenye jamii za Kiislamu.
Baadhi yao hivyo vikundi vinavyo anzia na herufi "A" tu ni kama vifutavyo.
  • Abu Sayyaf Group (ASG)
  • Afghan Taliban.
  • Al-Nusrah Front.
  • Al-Shabaab.
  • Ansar al-Sharia.
  • Ansar Bayt al-Maqdis (ABM)
  • Al-Qa'ida Core (AQ)
  • Al-Qa'ida in the Arabian. Peninsula (AQAP)

  • Hapo sijafika kwenye Herufi B kwa akina Boko Haram.
  • Waislamu mnatakiwa kujitathmini.
  • Matukio ya MKIRU na Tanga wate tuliyashuhudia.
  • Wahusika ni Waislamu wakijificha katika jamii za Kiislamu.
  • Kuna shida fulani kwenye Uislamu ambayo haitaki kusemwa hadharani.
  • Mzee wetu yule wa Zanzibar anaongea vitu kwa hisia kubwa sana lakini hatumsikilizi kabisa.
Tuwe wazi ili tukabiliane na hili tatizo.
MZEE WETU WA ZANZIBAR YUPI TENA SHEIKH?
 
Ni makutio ya ugaidi wa kutengenezwa (False Flag Terror) then unapendekeza waislm wakane.
Ugaidi ni nini ? kama tukio ni la kigaidi na limetokea hilo sio fake..., lakini kama aliyefanya ni mkristu au muislamu au hana dini lazima kila mtu akane (kama wastaarabu tunatakiwa kukana mabaya no matter nani ameyafanya)

Sasa wewe ukija hapa na kutetea kwamba wale sio waislamu (naona you have your priorities wrong) na hata kama kweli ni waislamu wewe inabidi uje hapa na kusema ule sio uislamu kwahio hao ni waislamu fake au waislamu tofauti na wewe unavyoamini...
Its make any sense.

Way forward ni kufanya tafiti. Lkn dodoso za tafiti hizo zipendekezwe na public ili isije onekana waathiriwa wajiandaa zilizoandaa justification ya faida kwao
Way forward ni kushika yoyote anayefanya huu upuuzi na sheria kuchukua mkondo wake no matter imani yake au affiliation
 
Ugaidi ni nini ? kama tukio ni la kigaidi na limetokea hilo sio fake..., lakini kama aliyefanya ni mkristu au muislamu au hana dini lazima kila mtu akane (kama wastaarabu tunatakiwa kukana mabaya no matter nani ameyafanya)

Sasa wewe ukija hapa na kutetea kwamba wale sio waislamu (naona you have your priorities wrong) na hata kama kweli ni waislamu wewe inabidi uje hapa na kusema ule sio uislamu kwahio hao ni waislamu fake au waislamu tofauti na wewe unavyoamini...

Way forward ni kushika yoyote anayefanya huu upuuzi na sheria kuchukua mkondo wake no matter imani yake au affiliation
Hongera sana ndugu. Uko very rational. Natamani wachanguaji humu wangebarikiwa walau robo ya uwezo wako wa kufikiri.

Kuna somo moja nadhani kwako ni jipya. Soma vzr na tuonekane sawa.

Nalo ni False flag - Wikipedia

A false flag operation is an act committed with the intent of disguising the actual source of responsibility and pinning blame on another party.

False flag​

False flag is a term used by conspiracy theorists to suggest that various world events and crises, such as terrorist attacks and mass shootings, were actually orchestrated by governments or sinister forces in furtherance of a political or social goal, such as gun control or sowing public fear. Historically, the term has been used to refer to a military or political operation carried out with the intention of blaming an opponent for it, often as a pretext for going to war.

Kama utafiti turagundua kinachoendelea ni false flag gov inapaswa kuwaomba Radhi watz
 
Sikatai Serikali au Watu wa aina fulani kuweza kutumia propaganda fulani ili kuwatisha watu fulani au kuwatoa kwenye reli au kufanikisha maovu yao (Hata Hitler alitumia sana jambo hili kwa kuwaaminisha watu kwamba matatizo yao yote yanasababishwa na Jews)...

Lakini point yangu kubwa ni kwamba kama wote tukikemea uharifu wowote popote bila hata kuupa jina fulani au kwamba ni watu fulani ambao wanafanya nadhani hata hao wanaofanya itakuwa ngumu kwao kutumia tabaka fulani.... Ugaidi ukitokea tuukemee kama ugaidi na sio kuhusisha na tabaka fulani au kuendelea kukuza chuki kwa tabaka hilo... Tukifika hapo tutakuwa tumeondoa mzizi wa fitina na kudeal na tatizo directly
 
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli ugaidi upo na waliotuhumia na kukaa ndani zaidi ya miaka 5 kuna aliyekutikana na makosa hayo na kutumikia adhabu.

Jamii ya Kiislamu itaendelea kuuthibitishia umma kwa ni jamii isiyo na hatia kwa kuongozwa na:
• Kindness
• Trustworthiness
• Unselfish generosity
• Humility
• Great manners
• Self-awareness and courage
• Integrity and benevolence

Hata hivyo bado waislam wangependa kutafiti ya kisayansi na kupitia tafiti hiyo kujustify kamata kamata ya waislam kwa tuhuma za Ugaidi kama kuna usahihi wowote au kuna chuki na ubaguzi.

Ndugu mkumbuke majibu yenu yataakishi fikra za watendaji wa serikali wenye imani sawa na imani zenu.

Iwapo maamuzi yao yanaathiriwa na imani zao binafsi walizozaliwa na mafundisho ktk majumba yenu ya ibada.

Tunataka kuone mipaka ya kisheria dhidi ya watendaji wanazofanya maamuzi kwa kuongozwa na imani yake kwa migongo wa serikali.

Wakili msomi Maledeka kwa kutumia weledi na ubobezi kaamua kuwasaidia watuhumiwa na kuuthibitishia umma kuwa kuna hatari kama taifa kutumia hisia au hasira kutaka kuwadhibiti jamii kwa kutumia sheria zenye viashiria vya ubaguzi. Na matokeo yake nguvu kazi na pesa za walipa kodi inatumika kwa matumizi yasiyo na sababu.

Wakili msomi Madeleka amejaribu kutoa rai kuhusiana yenye maslahi mapana kwa taifa. Nasikia rai hiyo kuanzia dkk ya 7 ya clip hii.

View: https://youtu.be/72rIuu-GSf0?si=YgXX61_IVXyjaAxT

Lengo la tafiti hii ni kutaka Maridhiano ya kitaifa ili kama ukamataji wa watuhumiwa uko una justification sheria hii iendelee, lkn kama kuna mapungufu basi sheria hii ifanyiwe marekebisho au ifutwe kabisa ili sheria ya uhalifu itumike kama MBADALA.

Utafiti huu tuwahusishe wadau wakuu wa kusimamia na kudhibiti ugaidi kama idara maalum ya kuzuia ugaidi, jeshi la polisi, jeshi la kimataifa (Interpol), ubalozi wa Marekani, familia zilizoathiriwa na kamata kamata.

Naomba ushirikiano wako kwa kutueleza;-

1. Je, kisheria inaruhusia kwa taasisi ya kidini kuja na utafiti wa aina hii.

2. Unaweza dondoa ni maswali gani ya kuuliza kama dodoso katika utafiti huo.

Ili utafiti uje kutuletea majibu sahihi na thabit yenye kusaidia taifa

3. Nani anaishi katika mazingira ambayo jirani zake wamekamatwa kwa makosa ya ugaidi.

4. Je ungependa kushiriki kwa namna moja ktk tafiti hii.

Karibuni kwa michango yenye nia ya kujenga kwa maslahi mapana ya taifa.

Nihitimishe kwa kusema binafsi naamini tz kuna ugaidi wa kutengenezwa. False Flag Terror.

Case study ni kesi ya watuhumiwa wa bomu arusha mwaka 2013. ambapo baada tu ya mlipuko kutokea alionekana kijana aliwa Amelia kanzu na kofia akikimbia. Wasamaria wema walimkimbiza na kumkamata, baada ilikuja fahamika anaitwa Ambrose Victor Calist. Hata hivyo haijulikana kwanini polisi walikuja kuwakama mashekhe zaidi ya 10 ambao baada ya kukaa ndani kwa miaka 10, mwaka huu wameachiwa huru kwa kuonekana hawakuhusika.

Jiulize Ambrose Victor Calist yuko wapi, kesi yake imeishaje, alitumwa na nani. Lengo lilikuwa ni kuwakamata nani.

kwa sababu wengi ndo tabia zao!
 
Kumekuwa na reformations kubwa kwa ukristo toka karne hadi karne hivyo kuufanya ukristo dini inayobadilika na kuendana zaidi na mfumo wa kisasa wa maisha, hiyo ni tofauti na uislamu ambapo mara zote wafuasi wake wengi wamekuwa wakifiri bado wanaoweza kuendelea kuishi kwa yale mafundisho yote ya karne ya 7 wakati dini inaanza na hapa ndipo clashes of civilizations zinapoanzia na hadi kupelekea violence wakati mwingine.
 
Hivyo vikundi mbona havipo nchi za kiislamu kuna kitu hapa , wanakaa sehemu zenye machafuo baada ya Gaddaf wameibuka kule Libya , baada ya Saddam wameibuka Iraq hapa kuna jambo zito sana
Gaddafi alikuwa aliweza kudhibiti makundi yenye itikadi kali nchini kwake ila alikuwa anayapa ufadhili hayo makundi katika nchi nyingine, Saddam alikuwa kinyume kabisa na vikundi vyenye msimamo mkali na alikuwa anawabamiza haswa kila wanapinuka Iraq. Marekani ilfanya kosa kubwa kumuondoa Saddam Iraq japo alikuwa muuaji wa Wakurdi kupitia Chemica Ali ila aliweza kuweka stabilty fulani Iraq
 
Mohamed Abubakar,

Semina Elekezi kwa Viongozi wa Kidini Mkoa wa Dar es Salaam leo 3 Juni 2024

View attachment 3007397
Semina elekezi ya uongozi kwa viongozi wa JUMUIYA YA MARIDHIANO NA AMANI TANZANIA (JMAT) Mkoa wa Dar Es salam , Wilaya na Kata zake. Mgeni rasmi Mhe: Mizengo Pinda. Leo June 03 2024 ukumbi wa JINCC Posta jijini Dar es Salaam, Tanzania

Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum katika mkutano huo wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) ametoa muhadhara kuhusu kipengele muhimu cha uzalendo .... mwite mwenzie kwa kufur au kafiri n.k mwenyeezi Mungu anatukumbusha kuwa binaadamu ni jengo la Mwenyenzi Mungu.

Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum anaanza katika mada ya uzalendo .... udugu wa kiimani upo yaani wale wa msikitini ndugu zao ni wale wa imani yao na vivyo hivyo kwa kanisani ndugu zao ni wale wa imani yao LAKINI sasa wakitoka kwenye nyumba zao za ibada suala linakuwa mtambuka wote ni waTanzania Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum anakumbusha ...

Kuhusu akili Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum anasema lazima ihifadhiwe ndiyo maana hairuhusiwi akili kutikiswa na bangi, miraa, madawa ya kulevya na uraibu mwingine ....

Kuhusu kaisari yaani serikali kulipwa kodi Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum anaturudisha kwa Yesu na kunukuu maswali ya uhalali wa watu kulipa kodi kwa Kaisari kuwa swali hilo ni kujaribu kumjaribu wakati wanajua umuhimu wa serikali, Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum anazidi kuwapa dozi viongozi wa kiimani katika mkutano wao wa leo .... huu ni uzalendo.

Pia Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum anakumbushia jinsi Mtume alivyolazimika kuondoka Mecca kwenda Madina, Mtume alihuzunika sana kuucha mji wake wa Mecca pamoja na mambo yaliyokuwa yanaendelea wakati ule ....Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum anasisitiza huu ni mfano mwingine wa uzalendo. Hivyo ni muhimu sana watanzania kuwa na uzalendo wa kuipenda nchi yao na raia wenzake watanzania ...
Ndugu uko vema. Naona kama imepoteza njia na uko nje ya mada kabisa.

Hebu soma tena kichwa cha habari.

Kwa kukusaidia tu wapenda amani na kulinda umoja na maslahi ya nchi wanahisia kuwa Tanzania hakuna ugaidi. Bali kuna ugaidi wa kutengenezwa.

False flag Terror.

False flag​

False flag is a term used by conspiracy theorists to suggest that various world events and crises, such as terrorist attacks and mass shootings, were actually orchestrated by governments or sinister forces in furtherance of a political or social goal, such as gun control or sowing public fear. Historically, the term has been used to refer to a military or political operation carried out with the intention of blaming an opponent for it, often as a pretext for going to war.

Kutokana na dhana hii wamefikiria ufanyike utafiti ili kupata ukweli wa mambo.

Ili utafiti huo usije onekana una dodoso zinazopendelea wenye mashaka na majibu ya utafiti huo imekuja mbele yenye kutaka ninyi ndio mutoe hizo dodoso wao wanafanya utafiti na kuja na matokeo ambayo watayawasikisha serikali kwa hatua mstahiki yenye maslahi kwa taifa.

Tusaidiane kuorodhesha hizo dondoo.

Nadhani ndugu nimekutafunia. Uwanja ni wakwako leta dodoso.
 
KWANINI ASILIMIA 99. 99% YA MAKAFIRI WOTE HAWANA RINDER? AU NDIO YALE MAAMRISHO YA KUFUMUANA?
Zenj la pwani ya mombasa kote huko wamejaa abdools,ni mwendo wa kufukuana minduku tu kama Allah anavyotaka.
 
Hebu soma tena kichwa cha habari. Kwa kukusaidia tu wapenda amani na kulinda umoja na maslahi ya nchi wanahisia kuwa Tanzania hakuna ugaidi. Bali kuna ugaidi wa kutengenezwa.

False flag Terror.

False flag​

False flag is a term used by conspiracy theorists to suggest that various world events and crises, such as terrorist attacks and mass shootings, were actually orchestrated by governments or sinister forces in furtherance of a political or social goal, such as gun control or sowing public fear. Historically, the term has been used to refer to a military or political operation carried out with the intention of blaming an opponent for it, often as a pretext for going to war.

Kutokana na dhana hii wamefikiria ufanyike utafiti ili kupata ukweli wa mambo.

Ili utafiti huo usije onekana una dodoso zinazopendelea wenye mashaka na majibu ya utafiti huo imekuja mbele yenye kutaka ninyi ndio mutoe hizo dodoso wao wanafanya utafiti na kuja na matokeo ambayo watayawasikisha serikali kwa hatua mstahiki yenye maslahi kwa taifa.

Tusaidiane kuorodhesha hizo dondoo.

Nadhani ndugu nimekutafunia. Uwanja ni wakwako leta dodoso.
Tangu lini sample ikachagua dodoso?
ok ngoja nijifunze kwako.

Sample hizi zafaa.

Sample hizi nimezigawa ktk mafungu mawili.

Dodoso kwa raia
Dodoso kwa watendaji wa taasisi zinazoshughulikia kudhibiti ugaidi na washirika wao.

Mf polisi, kikosi maalum cha kupambana na ugaidi, balozi ya marekani.

1. Jina
2. Mkoa
3. Wilaya
4. Kata
5. Kitongoji/ mtaa/ shehiya
6. Dini yako
7. Dhehebu lako
8. Je unakunywa pombe
9. Je kuna umuhimu kwa serikali kuongozwa na imani
10. Je serikali ya Tanzania ina imani
11. Unaamini kuwa watendaji wa serikali kuna wakati wanaathiriwa na kufata hisia za imani ya dini yake katika kutekeleza majukumu na amri kama mtendaji wa serikali.
12. Unaamini dhana hii; 'UBORA /TASWIRA YA SERIKALI HUAMULIWA NA imani ya Watendaji wa Serikali.
13. Iwapo maamuzi ya mtendaji wa serikali yanaathiriwa na imani ya dini yake matokeo ya maamuzi hayo unadhani wanaweza kuwa ni ya kibaguzi.
14. Iwapo kundi moja kubwa la jamii halina imani na sheria mojawapo kuwa imetungwa kwa ajili yao, unadhani kunahitajika mjadala wa kitaifa juu ya sheria hiyo na ikibidi kufutwa.
15. Je pale imani ya serikali (ujamaa ni imani) inapokinzana na imani ya tabaka la walio wengi je raia anapaswa kufata imani gani.
15. Kama mtendaji wa serikali Je unaumia kusikia raia mmoja anamwita mwenzie kafiri
16. Unaelewa maana ya ugaidi
17. Unadhani Tanzania kuna magaidi
18. Unaelewa kuwa kuna Ugaidi wa kutengenezwa (false Flag)
19. Je Tz kuna ugaidi au kuna ugaidi wa kutengenezwa
20. Unaweza kumjua gaidi kwa muonekano wake
21. Ukiwa mtendaji wa serikali na ukiwa nje ya majukumu ya serikali je unaamini Uislam ni ugaidi
22. Katika mazingira ya sasa Kuwepo kwa tabaka moja la imani kuhodhi asilimia 99% ya mamlaka ya serikali, huku wanaotawaliwa wakikosa Imani na watendaji wa serikali linapokuja suala la kusimamia sheria zinaonekana kuwabagua unadhani nini kifanyike.
Xxxxxxxxx
Je maswali haya yote yafaa kuwa ni dodoso ya tafiti kusudiwa.
 
Tangu lini sample ikachagua dodoso?
Ngoja niweke dodosa nilizozipata kupitia mjadala huu.

Je dodoso zote zafaa kuwa ni maswali ya utafiti huu ili tuweze kupata findings zenye maslahi mapana kwa taifa.

1. Jina
2. Mkoa
3. Wilaya
4. Kata
5. Kitongoji/ mtaa/ shehiya
6. Dini yako
7. Dhehebu lako
8. Je unakunywa pombe
9. Je kuna umuhimu kwa serikali kuongozwa na imani
10. Je serikali ya Tanzania ina imani
11. Unaamini kuwa watendaji wa serikali kuna wakati wanaathiriwa na kufata hisia za imani ya dini yake katika kutekeleza majukumu na amri kama mtendaji wa serikali.
12. Unaamini dhana hii; 'UBORA /TASWIRA YA SERIKALI HUAMULIWA NA imani ya Watendaji wa Serikali.
13. Iwapo maamuzi ya mtendaji wa serikali yanaathiriwa na imani ya dini yake matokeo ya maamuzi hayo unadhani wanaweza kuwa ni ya kibaguzi.
14. Iwapo kundi moja kubwa la jamii halina imani na sheria mojawapo kuwa imetungwa kwa ajili yao, unadhani kunahitajika mjadala wa kitaifa juu ya sheria hiyo na ikibidi kufutwa.
15. Je pale imani ya serikali (ujamaa ni imani) inapokinzana na imani ya tabaka la walio wengi je raia anapaswa kufata imani gani.
15. Kama mtendaji wa serikali Je unaumia kusikia raia mmoja anamwita mwenzie kafiri
16. Unaelewa maana ya ugaidi
17. Unadhani Tanzania kuna magaidi
18. Unaelewa kuwa kuna Ugaidi wa kutengenezwa (false Flag)
19. Je Tz kuna ugaidi au kuna ugaidi wa kutengenezwa
20. Unaweza kumjua gaidi kwa muonekano wake
21. Ukiwa mtendaji wa serikali na ukiwa nje ya majukumu ya serikali je unaamini Uislam ni ugaidi
22. Katika mazingira ya sasa Kuwepo kwa tabaka moja la imani kuhodhi asilimia 99% ya mamlaka ya serikali, huku wanaotawaliwa wakikosa Imani na watendaji wa serikali linapokuja suala la kusimamia sheria zinaonekana kuwabagua unadhani nini kifanyike.
24. Je ni magaidi wenyewe ndio wanajinasibisha na uislam,
25. Je ni vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ndio wanaonasibisha uislam na ugaidi
26. Ni waislam wenyewe ndio wanaojinasibisha na ugaidi
27. Ni mafundisho ya baadhi ya viongozi wa dini zote ambao hawataki mema nchi ndio wanaomasibisha uislam na ugaidi
28. Ni baadhi ya nchi na mabalozi wa nchi hizo ndio wanaoratibu matendo ya ugaidi na kuwalipa vijana wasio na kazi ili wasijifanye ni waislam magaidi ili kujustify uwepo wa ugaidi
29. Je Waktiro ni Magaidi
30. Je waislam ni Magaidi
31. Je Wayahudi ni Magaidi
 
Zenj la pwani ya mombasa kote huko wamejaa abdools,ni mwendo wa kufukuana minduku tu kama Allah anavyotaka.
Wewe si kuna nyuzi unaelezea jinsi padri alivyokufumua kanisani? We si ndie ulisema ni neri kufumuliwa rinder kama mlivyoagizwa katika bibilia?
 
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli ugaidi upo na waliotuhumia na kukaa ndani zaidi ya miaka 5 kuna aliyekutikana na makosa hayo na kutumikia adhabu.

Jamii ya Kiislamu itaendelea kuuthibitishia umma kwa ni jamii isiyo na hatia kwa kuongozwa na:
• Kindness
• Trustworthiness
• Unselfish generosity
• Humility
• Great manners
• Self-awareness and courage
• Integrity and benevolence

Hata hivyo bado waislam wangependa kutafiti ya kisayansi na kupitia tafiti hiyo kujustify kamata kamata ya waislam kwa tuhuma za Ugaidi kama kuna usahihi wowote au kuna chuki na ubaguzi.

Ndugu mkumbuke majibu yenu yataakishi fikra za watendaji wa serikali wenye imani sawa na imani zenu.

Iwapo maamuzi yao yanaathiriwa na imani zao binafsi walizozaliwa na mafundisho ktk majumba yenu ya ibada.

Tunataka kuone mipaka ya kisheria dhidi ya watendaji wanazofanya maamuzi kwa kuongozwa na imani yake kwa migongo wa serikali.

Wakili msomi Maledeka kwa kutumia weledi na ubobezi kaamua kuwasaidia watuhumiwa na kuuthibitishia umma kuwa kuna hatari kama taifa kutumia hisia au hasira kutaka kuwadhibiti jamii kwa kutumia sheria zenye viashiria vya ubaguzi. Na matokeo yake nguvu kazi na pesa za walipa kodi inatumika kwa matumizi yasiyo na sababu.

Wakili msomi Madeleka amejaribu kutoa rai kuhusiana yenye maslahi mapana kwa taifa. Nasikia rai hiyo kuanzia dkk ya 7 ya clip hii.

View: https://youtu.be/72rIuu-GSf0?si=YgXX61_IVXyjaAxT

Lengo la tafiti hii ni kutaka Maridhiano ya kitaifa ili kama ukamataji wa watuhumiwa uko una justification sheria hii iendelee, lkn kama kuna mapungufu basi sheria hii ifanyiwe marekebisho au ifutwe kabisa ili sheria ya uhalifu itumike kama MBADALA.

Utafiti huu tuwahusishe wadau wakuu wa kusimamia na kudhibiti ugaidi kama idara maalum ya kuzuia ugaidi, jeshi la polisi, jeshi la kimataifa (Interpol), ubalozi wa Marekani, familia zilizoathiriwa na kamata kamata.

Naomba ushirikiano wako kwa kutueleza;-

1. Je, kisheria inaruhusia kwa taasisi ya kidini kuja na utafiti wa aina hii.

2. Unaweza dondoa ni maswali gani ya kuuliza kama dodoso katika utafiti huo.

Ili utafiti uje kutuletea majibu sahihi na thabit yenye kusaidia taifa

3. Nani anaishi katika mazingira ambayo jirani zake wamekamatwa kwa makosa ya ugaidi.

4. Je ungependa kushiriki kwa namna moja ktk tafiti hii.

Karibuni kwa michango yenye nia ya kujenga kwa maslahi mapana ya taifa.

Nihitimishe kwa kusema binafsi naamini tz kuna ugaidi wa kutengenezwa. False Flag Terror.

Case study ni kesi ya watuhumiwa wa bomu arusha mwaka 2013. ambapo baada tu ya mlipuko kutokea alionekana kijana aliwa Amelia kanzu na kofia akikimbia. Wasamaria wema walimkimbiza na kumkamata, baada ilikuja fahamika anaitwa Ambrose Victor Calist. Hata hivyo haijulikana kwanini polisi walikuja kuwakama mashekhe zaidi ya 10 ambao baada ya kukaa ndani kwa miaka 10, mwaka huu wameachiwa huru kwa kuonekana hawakuhusika.

Jiulize Ambrose Victor Calist yuko wapi, kesi yake imeishaje, alitumwa na nani. Lengo lilikuwa ni kuwakamata nani.

Twende mbele turudi nyuma, islam na terrorism ni part and parcel,
Ugaidi ni njia mojawapo ya hawa jamaa kufikia Marengo Yao, u islam unataka mifumo Yao, ndio itawale dunia, hawapo tayari kuona dini zingine zikishamili sehemu yenye muslim majority, kusnzisha kanisa saudia,ni balaa, Ila wao wakifika, Norway, Canada, denmark, wanataka wafungue Masjid kesho,
Watakuja mikono nyuma wanalia, mkiwapa nafasi tu, watataka wawasilimishe hata kwa upsnga,
 
Hebu soma tena kichwa cha habari. Kwa kukusaidia tu wapenda amani na kulinda umoja na maslahi ya nchi wanahisia kuwa Tanzania hakuna ugaidi. Bali kuna ugaidi wa kutengenezwa

1717458560312.png

Sheikh Dkt. Alhad Issa Salum katika mkutano huo wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) ametoa muhadhara na kusisitiza viongozi wa kidini Tanzania hawana kabisa mashaka na serikali
 
Back
Top Bottom