Kwanini 99% ya Teuzi zote za Awamu hii ya Rais Samia hufanyika Usiku na Siku za Jumapili tu?

Kwanini 99% ya Teuzi zote za Awamu hii ya Rais Samia hufanyika Usiku na Siku za Jumapili tu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nasubiri Mirejesho yenu Watu wa Itifaki, Great Thinkers na Wabobezi wa Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania hapa JamiiForums ili mtuelimishe akina GENTAMYCINE tusiojua lolote na chochote.
 
Tesuzi zinafanyika kabla ila hutangazwa hayo masaa uliyo sema. Pia ni kuwawekea staha wanaotenguliwa.

Fikiria upo ofisini na unatoa maelekezo kwa kufoka na kabla ya maelekezo kuisha unaona mkeka mpya kwenye group lenu la kazini na jina lako halimo 😑😑😑😑😑😑😑😑
 
Ili Jumatatu ikianza kila kitu kinaanza fresh wiki mpya uongozi mpya
 
Teuzi za usiku hazikuanza leo anaendeleza utaratibu ule ule wa dikteta uchwara Jiwe, ili aogopewe , ila mama yao hamna kitu aisee, hasa kwa kuendelea kumkumbatia Madelu singida all stars
 
Back
Top Bottom