Nasubiri Mirejesho yenu Watu wa Itifaki, Great Thinkers na Wabobezi wa Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania hapa JamiiForums ili mtuelimishe akina GENTAMYCINE tusiojua lolote na chochote.
Tesuzi zinafanyika kabla ila hutangazwa hayo masaa uliyo sema. Pia ni kuwawekea staha wanaotenguliwa.
Fikiria upo ofisini na unatoa maelekezo kwa kufoka na kabla ya maelekezo kuisha unaona mkeka mpya kwenye group lenu la kazini na jina lako halimo ππππππππ
Teuzi za usiku hazikuanza leo anaendeleza utaratibu ule ule wa dikteta uchwara Jiwe, ili aogopewe , ila mama yao hamna kitu aisee, hasa kwa kuendelea kumkumbatia Madelu singida all stars