johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lete ushahidi bwashee au mbege imeshapanda kichwani?Uzalendo ni kutumia majeshi kuua, kuteka na kutesa raia pamoja na kuiba kura.
Wewe ndio unatetemeka!Mataga bana....Mbona mnaweweseka????
Tulieni....si mmedai hiyo ICC si lolote si chochote....relaxWewe ndio unatetemeka!
Endelea kuota bwashee!kama namuona jiwe akiwa kizimbani!!
Kwani hao ICC waliwahukumu akina Uhuru na Ruto?hiyo mahakama ya afrika si iliwahi kukubaliana na mtikila kuhusu mgombea binafsi? hivi hukumu ilitekelezwa?
Katika maraisi wa Afrika Mashariki, wanaoripotiwagwa mara kwa mara huko ICC, aliyefunguliwagwa kesi na hiyo ICC ni nani vile????Umesema Africa Mashariki...Marais wake ni akina nani vile? Jiwe, Kagame, Nkurunzinza na Museveni..hawa si ndio wanatoa pesa za kuendesha hizi Mahakama...kama hujatumwa jiongeze...