Kwanini ACT-Wazalendo wanaishitaki Serikali ICC badala ya Mahakama ya Afrika Mashariki? Huu ni uzalendo?

Kwanini ACT-Wazalendo wanaishitaki Serikali ICC badala ya Mahakama ya Afrika Mashariki? Huu ni uzalendo?

Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa.

Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika?

Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli?

Maendeleo hayana vyama!
Na waambia hivi jifunzeni kingereza, maana si mlijifanya hamwuogopi kuua
 
Kwani hao ICC waliwahukumu akina Uhuru na Ruto?
Kenyata alichiwa, ruto aanarudi tena sababu yule aliyehonga na kuua mashahidi kajisalimisha,shughuli inaanza upya ila kuna waliohukumiwaga,sishabikii chochote naamini kama tanzania tumeshavuka siasa za kumaliza uchaguzi na kusahau tumeanza kuingia pabaya kama kansa inaanza kidogokidogo waliosababisha wajirekebishe, hii ni nchi yetu ikiharibika hatuna nchi nyingine tena za kwenda,sipendi unyanyasaji na utengano unaochochochewa na tuliodhani wataimarisha umoja
 
Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa.

Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika?

Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli?

Maendeleo hayana vyama!
Kwanza angalia member wa hiyo Africa Mashariki, Museveni, Kagame, Kenyatta. Yani hakuna tofauti. Wote ni wazee wa kung'ang'ania madaraka, hawawez kuwa against na mtu anayefanya kama wao. Kesi ya nyani haipelekwi kwa ngedere.
 
Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa.

Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika?

Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli?

Maendeleo hayana vyama!

Huko si tulishajitoa?
Kibaya zaidi ulivyo empty hujuhi tofauti ya hizo mahakama.

Tulia dawa iingie.
 
Umesema Africa Mashariki...Marais wake ni akina nani vile? Jiwe, Kagame, Nkurunzinza na Museveni..hawa si ndio wanatoa pesa za kuendesha hizi Mahakama...kama hujatumwa jiongeze...

Umeniwahi kuandika.
 
Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa.

Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika?

Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli?

Maendeleo hayana vyama!
Usifananishe ICC na ...
 
Yaan kesi ya nyani unampelekea ngedele..... ICC wako well organised kufanya investigation, kukusanya ushahidi,kukamata watuhumiwa wote na kuwaweka jela zao, kuwahudumia wafungwa kwa hali na Mali, kulinda ushahidi, kufinance mawakili na kuendesha kesi. Hiyo ya Afrika Mashariki haiwezi Fanya hizo kazi zote hapo juu pia haiwezi kukamata marais wanaoiwezesha kufanya kazi zake.
 
Wamezoeya kila Uchaguzi wanarudia mpaka wanaona raha eeeh
Zanzibar hasa Pemba. Kama wanasaga mende vile
Wacha wapelekwe tu ili iwe funzo
 
Kwa Tanzania ya leo na huu mhimili wa mahakama tulio nao hata kesi za kuku wangekuwa wanapokea huko ICC tungewapelekea.
 
Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa.

Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika?

Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli?

Maendeleo hayana vyama!
Wanataka kuonyesha wanaweza kuishitaka serikali kwenye mahakama za kimataifa; lakini yote ni ya mfamaji tu kwani ICC siyo mahakama inayopokea kesi kutoka kwa watu binafsi au kutoka vikundi vya kisiasa, bali inachukua kesi zinazoletwa na taasisi za kimataifa tu.

Hya matamako ya ICC yasikutishea kabisa
 
Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa.

Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika?

Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli?

Maendeleo hayana vyama!
Kesi ya nyani apelekewe tumbili? Serikali dhalimu inayoua watu hakika imetoka kwa shetani. Nendeni The Hague mkatiwe adabu, kima nyie
 
Back
Top Bottom