Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nini kujamba, ataharisha njia nzima kuanzia Terminal 3 hadi Amsterdam, na kwenye treni ya kutoka Amsterdam hadi The Hague ataendelea kuwachafulia mazingira. Shenzi kabisaaaa.acheni kumjambisha jiwe hawezi kwenda huko icc