mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Na waambia hivi jifunzeni kingereza, maana si mlijifanya hamwuogopi kuuaTunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa.
Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika?
Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli?
Maendeleo hayana vyama!
Kenyata alichiwa, ruto aanarudi tena sababu yule aliyehonga na kuua mashahidi kajisalimisha,shughuli inaanza upya ila kuna waliohukumiwaga,sishabikii chochote naamini kama tanzania tumeshavuka siasa za kumaliza uchaguzi na kusahau tumeanza kuingia pabaya kama kansa inaanza kidogokidogo waliosababisha wajirekebishe, hii ni nchi yetu ikiharibika hatuna nchi nyingine tena za kwenda,sipendi unyanyasaji na utengano unaochochochewa na tuliodhani wataimarisha umojaKwani hao ICC waliwahukumu akina Uhuru na Ruto?
Kwanza angalia member wa hiyo Africa Mashariki, Museveni, Kagame, Kenyatta. Yani hakuna tofauti. Wote ni wazee wa kung'ang'ania madaraka, hawawez kuwa against na mtu anayefanya kama wao. Kesi ya nyani haipelekwi kwa ngedere.Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa.
Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika?
Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli?
Maendeleo hayana vyama!
Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa.
Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika?
Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli?
Maendeleo hayana vyama!
Umesema Africa Mashariki...Marais wake ni akina nani vile? Jiwe, Kagame, Nkurunzinza na Museveni..hawa si ndio wanatoa pesa za kuendesha hizi Mahakama...kama hujatumwa jiongeze...
Usifananishe ICC na ...Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa.
Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika?
Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli?
Maendeleo hayana vyama!
Unajitoa fahamu hujaona Ndungu zetu video,majeruhi,vidonda na maiti bara na zaidi visiwani!?????Lete ushahidi bwashee au mbege imeshapanda kichwani?
Wewe ni mahakama?!Lete ushahidi bwashee
Wanataka kuonyesha wanaweza kuishitaka serikali kwenye mahakama za kimataifa; lakini yote ni ya mfamaji tu kwani ICC siyo mahakama inayopokea kesi kutoka kwa watu binafsi au kutoka vikundi vya kisiasa, bali inachukua kesi zinazoletwa na taasisi za kimataifa tu.Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa.
Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika?
Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli?
Maendeleo hayana vyama!
Ushahidi umepelekwa ICC...miezi sita haipiti itaanza kuunguruma The HagueLete ushahidi bwashee au mbege imeshapanda kichwani?
Kesi ya nyani apelekewe tumbili? Serikali dhalimu inayoua watu hakika imetoka kwa shetani. Nendeni The Hague mkatiwe adabu, kima nyieTunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa.
Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika?
Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli?
Maendeleo hayana vyama!
Tupaja 🥁 drum sticksKama namuona jiwe akiwa kizimbani!!
acheni kumjambisha jiwe hawezi kwenda huko iccKama namuona jiwe akiwa kizimbani!!