Kwanini Afrika ni masikini? Au kuna mnyororo wa kiroho unaotushikilia tangu mwanzo?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Je mwafrika ni kizazi cha nani? Mtu anaechukiwa na kudharauliwa na kila aina ya mtu hapa duniani. Mtu aliekuwa mtumwa wa kila aina ya mtu duniani.

Au sisi ni nzao ya Ham?, mwana alieona uchi wa baba yake (noah), akacheka, then noah akamlaani na kumwambia atakuwa mtumwa wa wenzio

Gusa vyote katika mwafrika ila lakini hawezi tick kwenye vibox vya high IQs, U-Genius, Innovation na kutumia akili zaidi ya nguvu.

Ni ipi asili yetu? Je akili pana haikuwa hatma yetu basi nguvu ndio ikawa mtaji ndio maana tukatumika kufanya kazi kitumwa katika mashamba yao na leo kulipwa katika michezo kwa kuwa tuko more athletic (kasi, nguvu)

Au matokeo haya ni kuwa hatuku wekeza katika ubunifu wa fikra zetu ila tukazidi kudumisha jadi zetu? Kwa hio kusini mwa jangwa la sahara jamii zote za kiafrika ziliamua kuwa hivi, mmmmh?!!

Au dunia ya kisasa sio asili yetu ndio maana inatuacha nyuma? Kwamba dunia ya sasa sio ridhiki yetu kwa kuwa kuna mnyororo wa kiroho unaotushikilia tangu mwanzo kwa kuishi kulingana uwezo wetu wa kifikra na kinguvu?

7dce8630ac443697193f41b946642896~2.jpg
 
View attachment 3232878
Save Africa save African people 😓
 
Nini hasa msingi wa Hoja yako?

Anyway, lakini naona umechanganya vitu viwili ambavyo viko tofaufi kabisa.
Unachanganya mambo mawili hivi: Mwafrika na Mtu Mweusi. Hivi ni vitu viwili tofaufi, siyo kitu kimoja.

Siyo kila Mwafrika ni Mtu Mweusi, na Wala siyo kila Mtu Mweusi ni Mwafrika. Not all Africans are Black people, and not all Black people are Africans, it depends on the various factors.
 
Nilijaribu kuelezea hapo kinaga ubaga

Fafanua basi ili tuelewe
 
Je mwafrika ni kizazi cha nani? Mtu anaechukiwa na kudharauliwa na kila aina ya mtu hapa duniani. Mtu aliekuwa mtumwa wa kila aina ya mtu duniani.

Au sisi ni nzao ya Ham?, mwana alieona uchi wa baba yake (noah), akacheka, then noah akamlaani na kumwambia atakuwa mtumwa wa wenzio

Gusa vyote katika mwafrika ila lakini hawezi tick kwenye vibox vya high IQs, U-Genius, Innovation na kutumia akili zaidi ya nguvu.

Ni ipi asili yetu? Je akili pana haikuwa hatma yetu basi nguvu ndio ikawa mtaji ndio maana tukatumika kufanya kazi kitumwa katika mashamba yao na leo kulipwa katika michezo kwa kuwa tuko more athletic (kasi, nguvu)

Au matokeo haya ni kuwa hatuku wekeza katika ubunifu wa fikra zetu ila tukazidi kudumisha jadi zetu? Kwa hio kusini mwa jangwa la sahara jamii zote za kiafrika ziliamua kuwa hivi, mmmmh?!!

Au dunia ya kisasa sio asili yetu ndio maana inatuacha nyuma? Kwamba dunia ya sasa sio ridhiki yetu kwa kuwa kuna mnyororo wa kiroho unaotushikilia tangu mwanzo kwa kuishi kulingana uwezo wetu wa kifikra na kinguvu?

View attachment 3232878
Ni kizazi cha Hamu aliyelaamiwa na baba yake Nuhu.
 
Back
Top Bottom