Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Je mwafrika ni kizazi cha nani? Mtu anaechukiwa na kudharauliwa na kila aina ya mtu hapa duniani. Mtu aliekuwa mtumwa wa kila aina ya mtu duniani.
Au sisi ni nzao ya Ham?, mwana alieona uchi wa baba yake (noah), akacheka, then noah akamlaani na kumwambia atakuwa mtumwa wa wenzio
Gusa vyote katika mwafrika ila lakini hawezi tick kwenye vibox vya high IQs, U-Genius, Innovation na kutumia akili zaidi ya nguvu.
Ni ipi asili yetu? Je akili pana haikuwa hatma yetu basi nguvu ndio ikawa mtaji ndio maana tukatumika kufanya kazi kitumwa katika mashamba yao na leo kulipwa katika michezo kwa kuwa tuko more athletic (kasi, nguvu)
Au matokeo haya ni kuwa hatuku wekeza katika ubunifu wa fikra zetu ila tukazidi kudumisha jadi zetu? Kwa hio kusini mwa jangwa la sahara jamii zote za kiafrika ziliamua kuwa hivi, mmmmh?!!
Au dunia ya kisasa sio asili yetu ndio maana inatuacha nyuma? Kwamba dunia ya sasa sio ridhiki yetu kwa kuwa kuna mnyororo wa kiroho unaotushikilia tangu mwanzo kwa kuishi kulingana uwezo wetu wa kifikra na kinguvu?