Hii ni ukweli mtupu, tunajiona tuko sawa kiakili ila hapana kwa kweli kuna tatizo mahaliAsili ya mwanadamu anapenda kusikia jambo baya kuliko zuri.
Mwanadamu akisikia jambo baya atalifuatilia kwa kalibu kuliko akisikia jambozuri. Hasa kwa sisi watu weusi , maana naona bado mtu mweusi anachembechembe za usokwe.
Mtu mweusi akishika wadhifa anaona ote wajinga.anakosa hofu, huruma, ustaalabu, anajiona yeye ndio anaakili kuzidi wengine ote.
Kwa ufupi bado tupo primitive.
"Our lives begin to end the day we become silent about things that matter."Hakuna njia nyingine ya kupambana na huo wizi wa kura wa CCM zaidi ya Mapinduzi???
"Our lives begin to end the day we become silent about things that matter."Haupo, maana wanashirikiana na baadhi ya viongozi wa juu wa vyombo vya dola kupora chaguzi za nchi. Njia pekee huwa ni machafuko, au hasa mapinduzi ya kijeshi.
Tatizo ni kutokuambilikaTatizo ni nini
Duuh! Ni kweli kabisa mkuuHasa kwa sisi watu weusi , maana naona bado mtu mweusi anachembechembe za usokwe.
Actually huo ni uchaguzi na pia na ni aina ya Demokrasia maeneo husika yameamua kuichagua na kuitekeleza.Walianza Burkinafaso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini Kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi??
Lakini hao wanajeshi wakichukua hayo madaraka hawatudishi kwa wananchi mkuu,,Actually huo ni uchaguzi na pia na ni aina ya Demokrasia maeneo husika yameamua kuichagua na kuitekeleza.
Mathalani Niger, Rais Mohamed Bazum ni kweli alichaguliwa na wananchi kwa kura lakini pia Jeshi lilipompindua wananchi kwa maelfu walijitokeza tena ktk uwanja wa mpira na maeneo mengine nchini humo, kuunga mkono Jeshi kwa Mapinduzi ya Amani, lakini zaidi sana kumuunga mkono Gen. Abdoulrahame Tchiani kwamba ndio kiongozi wao.
Hali hii imetokea pia maeneo mengine kama vile Burkina Faso, Mali na Guinea.
Wananchi kuunga mkono Jeshi na viongozi wa Mapinduzi ni Demokrasia pia Lazima wananchi waheshimiwe Mawazo na matakwa yao.
SawasawaAli bongo nchi ile aliifanya kama Mali yake
Ova
Ndio ivyo itakavyokua,watawala wa Dunia wanaamini kwenye demokrasia awawezi kukubali nchi itawaliwe kijeshi kwa muda mrefu.Lakini hao wanajeshi wakichukua hayo madaraka hawatudishi kwa wananchi mkuu,,
Ni kweli kabisa.Lakini hao wanajeshi wakichukua hayo madaraka hawatudishi kwa wananchi mkuu,,
Nimekaa Uganda najua nachokiandika.Afrika maendeleo yake yanarudishwa sana nyuma(indirectly) na hawa watu wanaitwa wazungu na policies zao za hovyo(sio kama na support kiongozi kubaki madarakani muda mrefu) lakini nachopinga ni hii aina ya naming wanayopewa viongozi wa kiafrika wakikaa madarakani mda mrefu.Unapo andika hii comment yako upo Uganda au ni Kwa hisia zako??
Samahani lakini
Itakuwa tumechoka vyama vilivyojaa madarakani muda mrefu,uminywaji wa demokrasia.Walianza Burkinafaso, wakaja Niger Sasa ni Gabon.
Sielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Nakumbuka hata Mzee Robert Mugabe aliondolewa madarakani "kistaarabu" na jeshi baada ya kuonekana hataki kutoka madarakani ingawa uwezo wake wa kuongoza Zimbabwe ulikuwa unatia shaka.
Tatizo ni nini Kwa Afrika kutegemea majeshi kufanya mabadiliko ambayo kimsingi yanatakiwa yafanywe kupitia mifumo ya kiuchaguzi??
Sasa ukiangalia ni tawala zimejaa ufisadi mkubwa kuwatoa kweny box la kura ni ngumu maan wanafanya kila namna wajitangaze washind. So hapo kuna nn zaid ya kuwaondoa kwa nguv wakolon weusiSielewi ni Kwa nini Afrika inakuwa ni ngumu sana kuwaondoa viongozi "wabovu" wasiotakiwa Kwa njia ya kura, badala yake kazi hiyo hufanywa na wanajeshi.
Je hizo haki ambazo wananchi tunazililia, ambazo tunazikosa kupitia uongozi wa kiraia tunazikosa.tutazipata kupitia uongozi wa kijeshi? Ambao hawarudishi uongozi kwa wananchi zaidi ya wao pia kutanguliza tamaa. Huwa sioni maana ya huu ushabiki.Ndio ivyo itakavyokua,watawala wa Dunia wanaamini kwenye demokrasia awawezi kukubali nchi itawaliwe kijeshi kwa muda mrefu.