Kwanini Anna Makinda na Mizengo Pinda hawajaweza kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara?

Mmmh ! Nadhani wanasoma upepo unavyopepea pea , labda si shwari shwari , mmmh !
 

Mwamba angependeza zaidi:



Wala asingekataa!
 
Chanzo cha habari ?
 
Majina yaliyopendekezwa ni Mizengo Pinda VS Wassira.
Na sio huyo Anna wako
 
we ni profesa wa uzushi unajulikana. Mtu km ww hawezi kujua mambo ya CCM, we kamtumikie bwanako Makengeza
 

Habari za kusikiasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…