Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Mlitaka aje aongee nini na yule mtu wenu hana siri anaongea kila kitu kilivyoPia kwanini jana Sultan mbowe alikimbia mdahalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlitaka aje aongee nini na yule mtu wenu hana siri anaongea kila kitu kilivyoPia kwanini jana Sultan mbowe alikimbia mdahalo
Noma kweli yaani!Ccm imekufa
Mmmh ! Nadhani wanasoma upepo unavyopepea pea , labda si shwari shwari , mmmh !Taarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.
Wakaitwa na Mkubwa huko Kizimkazi na kuelezwa jambo hilo lakini walikataa.
Mnadhani kwanini Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake walikataa Cheo hicho, Kuna nini au Wametosheka?
Taarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.

WanawajuaMnadhani kwanini Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake walikataa Cheo hicho, Kuna nini au Wametosheka?
Chanzo cha habari ?Taarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.
Wakaitwa na Mkubwa huko Kizimkazi na kuelezwa jambo hilo lakini walikataa.
Mnadhani kwanini Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake walikataa Cheo hicho, Kuna nini au Wametosheka?
Majina yaliyopendekezwa ni Mizengo Pinda VS Wassira.Taarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.
Wakaitwa na Mkubwa huko Kizimkazi na kuelezwa jambo hilo lakini walikataa.
Mnadhani kwanini Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake walikataa Cheo hicho, Kuna nini au Wametosheka?
we ni profesa wa uzushi unajulikana. Mtu km ww hawezi kujua mambo ya CCM, we kamtumikie bwanako MakengezaTaarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.
Wakaitwa na Mkubwa huko Kizimkazi na kuelezwa jambo hilo lakini walikataa.
Mnadhani kwanini Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake walikataa Cheo hicho, Kuna nini au Wametosheka?
Mtu MkubwaChanzo cha habari ?
Fomu walichukua wapi?Majina yaliyopendekezwa ni Mizengo Pinda VS Wassira.
Na sio huyo Anna wako
Taarifa zinadokeza kwamba Wawili hao ndio ambao walipangwa mmoja wao awe Makamu Mwenyekiti wa Tanzania Bara.
Wakaitwa na Mkubwa huko Kizimkazi na kuelezwa jambo hilo lakini walikataa.
Mnadhani kwanini Wawili hao kila mmoja kwa wakati wake walikataa Cheo hicho, Kuna nini au Wametosheka?
Kaambiwa na marehemu.Ndio zao Chadema kuwa uzushi na uongo ukiwauliza wanadai wameambiwq na marehemu.Chanzo cha habari ?
Kazi ya masikio ni ipi?Habari za kusikiasikia