Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Mbagala ipi unakizungumzia, ujue mbagala ni Taifa.

Kule Mbagala Kuna kila raia kuanzia Makapuku, Mlalahoi, Mlalahai, na Mabwanyenye.

Hivyo unapoitaja Mbagala basi taja Mbagala ipi unaizungumzia?

N.B Mbagala Misheni, Mbagala kijichi, Mgeni nani, Vikunai, kuu, kibondemaji, sabasaba, kipati, kizuaiani, Juhudi, Kimbangulile, kokoto, kiburugwa, kungugi, charambe, kwa nyoka, Cha tembo, Mianzini, Maji matitu, kilungule, Rangi tatu.

Kata ya chamazi yote, Mbande yote, kiponza yote, kisewe yote, Dovya yote, Bamia, Rufu yote, Tarime, Uvikiuta, Makaburini.

Hivyo unapoizungumzia Mbagala basi taja sehemu husika.

Hata huko Kimara, Mbezi, Kibamba, Gongo la mboto, Ukonga, Kigamboni, Kawe Kuna tofauti gani na Mbagala?

Dar es Salaam eneo lililopimwa ni 30% ya mji wote ila Kuna wakuja ndio wanataka kuleta dharau, acheni ushamba naa ulimbukeni.

N.B Panya road wanasumbua maeneo gani kipindi hiki, hao si ndio waliostarabika [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Demokrasia ndio maendeleo ?
 
Naomba nikuulize swali: je Kijichi ipo Kata ya Azimio au kata ya Mtoni?

Maana tunahitaji kuwarekebisha watu kama ninyi ili wengine wajifunze Toka katika uongo wenu.

Kijichi, Mgeni nani na Mbagala kuu ni mitaa. Iliyopo kata ya Mbagala

Mtoni inaishia Msikitini na ukipandisha tu umeiingia Mbagala Misheni.

Kukataa huku pia hufanywa na watu wa chamazi waliopo kata ya chamazi kuwa so sio Mbagala.

La mwisho angalia postikodi ya kijichi, Mgeni nani, Mbagala kuu ni Moja au tofauti

Mbagala Misheni ni sehemu ya Mbagala au mtoni?

Mwanamtoti ni Mbagala au Mtoni?


Siku nyingine ukija mjini kwa mbio za mwenge waambie wenyeji wakufundishe
 
Hivi kati ya Temeke na Ilala (toa city centre) wapi kuna afadhali ya makazi
Mwambie hiyo Ilala akiiongelea asiache kutaja Mvuti, Dondwe, Msongola, Kivure, Mchikichini, vingunguti,
 
Sawa kabisa umesema MWISLAMU sio ISLAM, fanya tafiti na soma Islam sio tafiti ya waislam.
 
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
San wee unaendaje kuishi na wamakonde wamakonde wote wako hapo unategemea nn

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
No nigga. Mimi ni mweusi zaidi ya mkaa wa mkaratusi.
Sasa mbona unatoa povu zito namna hii kwa mambo simple? Hapa ukijifanya kukasirika kwa sababu dini/kabila/sehemu/jinsia yako imesemwa vibaya basi utakufa kwa kiroho. Take it easy! Sijui kama ulishuhudia kipindi cha Magufuli wachaga walivyokuwa wanashambuliwa!
 
Tatizo lililopa Tanzania watu wengi wanatoa maoni yao kuhusu kitu chochote kile huwa kina kuwa driven by emotional sn kuliko uhalisia wa jambo husika na hilo ni tatizo.
Nakubaliana na wewe. Tatizo lipo kwenye kutafakari. Sisi watanzania sijui akili zetu zikoje lakini huwa hatuna tabia ya kutafakari au kutafiti jambo kabla ya kulisema. Hili nilikuwa silijui lakini uwepo wa Internet umefanya nijue. Pengine elimu tuliyopata inazingatia zaidi kukariri.
 
Hold up! hold up! kama hauchukulii serious basi hata comment yangu usingechukulia serious vilevile.
Lakini of course siko serious, I'm having fun here!, I enjoy conflict and outrageous arguments.

I'm pursuing challenges everyday.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…