Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Umeambiwa na Nani? Mm hata ukinipa chumba bure mwenge siwez kuish uswahilin kama hapo. Karibu kijichi mkuu
 
Kwamba mtu auze nyumba/eneo lake Kariakoo, Ilala ama Magomeni kwa zaidi ya milioni 700 ama hata bilioni then ashindwe kwenda kununua kiwanja Mbezi, Madale ama Tegeta kwa bei ya milioni 30 ama 50?
 
Najua wanetu wa wilaya ya Temeke mtatokwa na povu lakini huo ndo ukweli

Mosi, siishi kabisa DSM.

Pili, kama wa huko ni waswahili, wa maeneo mengine sio waswahili?

Kumbe kuwa mswahili ni laana?
 
 
Goba na Salasala ambapo ndo makao makuu ya vibaka?

Ama wewe mkuu umetoka mkoani juzi kuingia Dar? Hakuna eneo lenye vibaka wengi kama Goba.

Usalama wa Goba ni mdogo kulinganisha na maeneo mengi ya Dar. Vibaka wa Goba ndiyo wanaoenda kufanya uhalifu maeneo kama ya Kinyerezi, Segerea na Mbezi.
 
Mwarabu ameshakunyonya nyuma. Akili huna
Matusi ya nini kiongozi?. Tukiweka udini mbele tutatukana kila mtu. Hapa tunajifunza tu
Nani kasema?. Mbagala ipo kwenye riski sabb watu wengi wa huku ni zao la pwani /kusini. Na huo ukanda wa kusini elimu ya kileo haijafika vizuri nd mana mpaka Sasa kuna tamaduni hazijaachwa. Mf. Wazaramo wameijenga mbagala kuwa sehem ya ngoma na mdundiko kila jumapili. Wamakonde wameijenga kuwa sehem yenye uchawi kias cha kuogofya kidogo.
Ukiichukua kimitazamo wa kileo, uchawi na kupenda ngoma (vigodoro) ni USWAHILI. huku vikiambatana na kukosa elimu (tusiuite Ujinga). Uongoz pia ulaumiwe Kwa kukosa motivesheni y kuwakomboa wat wa huku Kwa nguvu zaidi ya kawaida.
NB: UDINI UNATUTOA KUFIKIRIA NA KUTUPELEKA KUJAJI
 
Bei ya vyakula kuwa chini maana yake ni mzunguko mdogo wa pesa kumbe!

Kwahiyo sasahivi bei ya vyakula maeneo mengi vimepanda sana, je hiyo ndo maana ya mzunguko mkubwa wa pesa?

Mbagala panajitosheleza maana kuna mzunguko mkubwa wa hela. Unaweza kumaliza mahitaji yako yote ya bidhaa Mbagala pasipo kufika Kariakoo.
 
Unazungumzia Goba ipi mkuu?

Juzi kati pale Kawe, polisi waliua panya road mmoja aliyetajwa aliuawa taarifa inasema ni kiongozi wa panya road na anatokea Mbagala.
 
Kwamba mtu auze nyumba/eneo lake Kariakoo, Ilala ama Magomeni kwa zaidi ya milioni 700 ama hata bilioni then ashindwe kwenda kununua kiwanja Mbezi, Madale ama Tegeta kwa bei ya milioni 30 ama 50?
Umeambiwa wakiuza baafa ya ukoo kugawana Kila moja anasepa na zake
 
Wewe ni mgeni wa Dar ulivyofikia kwa dada yako hapo Goba ukaona ndo eneo zuri zaidi. Jitahidi dada awe anakuachia nauli kidogo uzunguke maeneo mengi hasa Temeke ujionee mijengo yenye hadhi ya New York.
 
Watu was kusini Wana huo msimemo kuwa serikali imewasahau sana; mnapenda sana kusingizia serikali.

Kuna mtu amesema mbagala Ina aksi maisha ya kusini; kasema kweli tupu.
 
Acha uongo jamaa. Kwa kifupi Goba vibaka hakuna kama wako basi no wachache. Ni mara chache sana kukuta vijana wamekaa vijiweni; labda kama **** goba nyingine.
 
Acha uongo jamaa. Kwa kifupi Goba vibaka hakuna kama wako basi no wachache. Ni mara chache sana kukuta vijana wamekaa vijiweni; labda kama **** goba nyingine.
Ngoja watoto wa shule muendelee kucomment. Lkn waulizeni wasanii wenu kwanini wanakuja kufanyia maigizo katika majumba ya huku, tokea jumba la dhahabu sijui Huba.... huko Goba hakuna mijengo ? Wanakuwa wajinga hadi anajikuta anakusalimia wakati wa.emwambia afanye action.
Wanapoteza uelewa hadi anaigiza jambazi na anavua viatu kuogopa mazulia ya watu.

Ongeeni ila real life imebadilika Dar hakuna cha Obeyi, watu wanajijengea zaidi ya hizo.
Ungesema tuna beach matope ningekuelewa
 
Wewe ni mgeni wa Dar ulivyofikia kwa dada yako hapo Goba ukaona ndo eneo zuri zaidi. Jitahidi dada awe anakuachia nauli kidogo uzunguke maeneo mengi hasa Temeke ujionee mijengo yenye hadhi ya New York.
Kiazi kweli ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…