Potentialllity ya mkoa kiuchumi..hatupimi Kwa Kodi tu ..ni sawa mnashika namba mbili ,vipi kuhusu GDP yenu ..ikiwa mna GDP ndogo maana yake potential ya uimara wenu kiuchumi ni ndogo ..hizo Kodi mnapata mainly kwenye sekta ya utalii
Ikiwa uchumi wenu hauna diversity lazima mtayumba tu ,,ndo maana wakati wa corona Arusha Hali ilikuwa mbaya ....
Ukilinganisha na mwanza ,,, mwanza wao wanabebwa na vitu viwili population na GDP ... uchumi wa mwanza uko na diversity kubwa ukilinganisha na Arusha
Sent using
Jamii Forums mobile app