Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

😂😂😂😂Sasa mbona mnapiga kelele kama vichaa huku ...malimbukeni mnajidanganya
 
Geneva Of Africa

Tatizo la watu wa Arusha ni kuichukulia Arusha km Nchi sio Arusha km Mkoa

Arusha sio Nchi mkiondoa hio mentality soon mtapata maendeleo ila mkibaki na hio mentality mtapitwa hata na Lindi sio Zanzibar tu,
Ndio upo sahihi Arusha Ni nchi hata sisi wenyewe tunatambua hili Ndio maana hatuitambui serikali yenu ya mkoloni mweusi ambayo Ina ngangania kututawala kinguvu wakati sisi watu wa Arusha na Moshi tunaitambua Arusha republic (USA),,THE UNITED STATE OF ARUSHA huu utawala wa mkoloni mweusi wa kibaguzi mwisho wake unakuja soon tutaikomboa Arusha na Moshi kuwa moja na ma soldiers pekee kutoka Arusha na Moshi na sisi hatuitambui manyara km mkoa Bali Ni sehemu ya Arusha.
 
Hizo percent umetoa wapi binti😃 manyara iko mkoa wa manyara ova..
We msukuma umia roho mpaka ufe kabisa Sawa eeh sisi watu wa Arusha hatuitambui serikali yenu ya mkoloni mweuc sisi tunaitambua Arusha na Moshi km nchi moja na sisi tunatambua manyara km sehemu ya Arusha kwahiyo manyara kuwa mkoa unaojitegemea km ambavyo iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mkoloni mweuc inavyodai sisi Hilo hatuitambui sababu sisi Arusha Ni nchi na manyara Ni sehemu ya Arusha Hilo sisi Ndio tunalijua inakuumaaa msukuma eeeh ,,,over
 
Wa
Kama unatokea Arusha ama kuishi au kuzaliwa gonga like Kisha tembeaawap
Wape salaamu Arusha Ni nchi muunganiko wa Moshi na Arusha watake wactake soon ,the Arusha republic itatambulika internationally
 
Mapato ya Arusha tunajenga stand simiyu ova
 
Sawa mkuu, endelea kuota na hio bange yako mkononi
 
Mikoa yanayochangia Pato serikali Tz ni dar.. Arusha... Zanzibar.... Kilimanjaro..mikoa mingine inafuata, siijui
 
Geneva Of Africa

Tatizo la watu wa Arusha ni kuichukulia Arusha km Nchi sio Arusha km Mkoa

Arusha sio Nchi mkiondoa hio mentality soon mtapata maendeleo ila mkibaki na hio mentality mtapitwa hata na Lindi sio Zanzibar tu,
[emoji2][emoji2][emoji23]
 
Mikoa yanayochangia Pato serikali Tz ni dar.. Arusha... Zanzibar.... Kilimanjaro..mikoa mingine inafuata, siijui
Upo sahihi kwanza Moshi Ni ya tatu sababu kaskizin Moshi na Arusha %80 ya watalii nchini Ndio wanaingia Arusha na Moshi Zanzibar huko Ni % ndogo iliyobaki kwahiyo Zanzibar haiwez kuizid Moshi labda kuwa Sawa au kuikaribia
 
😂😂😂😂Sasa mbona mnapiga kelele kama vichaa huku ...malimbukeni mnajidanganya
Subir soon utasikia rasmi ,the Arusha republic (USA) ,THE UNITED STATE OF ARUSHA ,Yaani Moshi na Arusha kuungana kuwa nchi moja hapo ndipo utazimia na mapato yote mliyozoea kutuibia Kanda ya kaskazini kwenda kujenga flyover ,barabara,madaraja ,Stendi kila kukicha huko dar hamtazipata Tena Sasa ztakuwa zinajenga Arusha na Moshi ,,,over imekuuma kunywa sumu ,,,over
 
Interesting stories,Mwanza iko diverse How?

Arusha kuna fursa za kilimo,biashara,services,tourism at large,mining and forests
 
Interesting stories,Mwanza iko diverse How?

Arusha kuna fursa za kilimo,biashara,services,tourism at large,mining and forests
Fishing (90 % ya export ya samaki inatoka mwanza
Kilimo (main producer wa pamba,choroko ,dengu ambazo zinakuwa exported India)
Viwanda (Kuna Franchise za kutosha za multinational kama coca, Pepsi,TBL,east Africa breweries


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu uwanja wa ndege ni kwamba haujengwi wa kisasa na mkubwa zaidi kwasababu ya uwepo wa KIA pale moshi. Ni sawa na mtu akilalamika kwanini pwani hapajengwi uwanja wa ndege wa kisasa ilihali uwanja wa aina hyohyo upo dar es salaam.
CYO kweli usemayo kwahiyo Moshi pakisha jengwa Uwanja Arusha kujenga Tena Uwanja Ni dhambi eeh acha unafki hoja Haina mashiko ,Arusha Ni jiji very potential lazma iwe na Uwanja wa ndege wa kimataifa Tena mkubwa Africa nzima ili kusudi watalii wakija wanashukia direct Arusha ,km ambavyo wakienda Moshi wanashukia Moshi tatizo wivu u akusumbua bila shakawe utakuwa msukuma mshambah ,,,over
 
Kama zinaenda kujenga dar mbona hasira unaziweka mwanza? Mwanza ni jeshi la mtu mmoja halisubiri hela za wazungu km wavaa mashati makubwa ndo maana mnakaa kulialia, serikali iweke nguvu kwenye utalii we uipangie matumizi ya pesa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…