Texas Tiger
JF-Expert Member
- Nov 5, 2022
- 483
- 1,100
Sasa si mfanye muondoke hapa dar muende kwenu au mnataka Yale mauaji ya kimbali...Tuwatafute tukiona meno ya kuoza ni mwendo wa parungu tu ...fanyeni muondoke maana watu wa ajabu sana jua lote mnavaa majackets Tena kweny mwendokasi ..[emoji23][emoji23][emoji23]
mji una idadi ndogo ya watu kumbe mko ugenini mkirudi kweny mnaweza kufika hata 3mil .ila hamtaki.
Kiuhalisia mji Mimi bila ya bahari hata ziwa moja siwezi kukubali sijui wanyama pori sina time nao na milima nije kutoka vigimbi vya miguu vya nn?
Rudini kwenu joto lipungue hapa Town.
Huduma bora za kijamii Arusha hiyo ni lazima.
Kama serikali inakusanya kodi basi LAZIMA irudishe fedha kwa wananchi wa sehemu husika kwa njia ya miradi ya kijamii.
Unanielewa lakini dada?
Tatizo lako unakiherehere. Lakini pia unamzuka sana hadi unakosa utulivu. Soon jirani yako atakuomba game.