Mapank
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 4,130
- 6,097
Huduma mnazotaka hata huko Namtumbo, wanazihitaji. Arusha mna mapato ya ndani sidhani kama ni busara kulilia vifaa tiba?Serikali imeshindwa kutoa hata basic needs hapa Arusha, kama vile barabara, maji, umeme, hospitali zenye vifaa tiba lakini pia vitendea kazi katika shule zetu.
Haya mambo hatuyachukulii kirahisi rahisi.
Wewe unatembea ukiwa umefumba macho na masikio yako?
Hoja yako ya population ya 500k haina mantiki yoyote. Ujinga ujinga tu.
Huduma bora LAZIMA hata kama watu ni wachache, ilimradi inayojiita serikali inachukua pesa kwa wananchi aka kodi.
Haya tuendelee kujadili kwa akili dada.
Nasubiri majibu yako.