The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Jamaa wa Arusha huwa mna maisha magumu sana,sasa hivi mnauza tigo 😂😂We ni kizibo kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wa Arusha huwa mna maisha magumu sana,sasa hivi mnauza tigo 😂😂We ni kizibo kweli
We wa Sumbawanga ndio unamaisha mazuri?Jamaa wa Arusha huwa mna maisha magumu sana,sasa hivi mnauza tigo [emoji23][emoji23]
Leta figure sio maneno manenoWatu wanasema Arusha Kuna Nini Mara Serikali kuwekeza na blaa blaa kibao..
Ila.kiuhalisia Arusha Ni namba 3 kwa viwanda Tanzania baada ya Pwani na Dar..
Arusha ndio source ya teknolojia ya Kilimo,huwa zinaanzia Arusha na kusambaa kwingine ndio maana Arusha Ina viwanda vingi vya mbegu na viwagilifu..
Arusha kuwa tuu jirani na Nairobi Ni fursa tosha.
Kuna fortes safaris,Kuna masumin safaris tour ,Kuna rock city tour agency just to mention a few ...Kwa hiyo utalii ni uwanja wa ndege tuu? Nitajie tour companies, traveling agencies na quality hotels zilizopo Mwanza!
Usukumagang ni shida aisee! Mtangoja sana hao watalii hapo Mwanza! Mwendazake alijaribu kuua industry kwa kufunga bureau de changes akashindwa!
nadhani arusha wawekezaji wakubwa ni wakazi wa moshi.Hawajaanza leo. Ilihali watu wa Arusha tangu zamani wanachangia pato kubwa la Taifa kwa uchakarikaji ila serikali inawatenga.
Sehemu kubwa ya miradi ya maendeleo sasahivi Arusha inafanywa na wenyeji wenyewe.
Mimi Nina makazi sehemu 2 ,Mbeya na Sumbawanga..We wa Sumbawanga ndio unamaisha mazuri?
Labda kama unadinywa uko
Sumbawanga nakufahamu mbeya nakufahamu,bado uko ni vijijiniMimi Nina makazi sehemu 2 ,Mbeya na Sumbawanga..
Huku hatutaki ujinga wa kupeleka Kodi zetu' seikalini ili zikajenge Dar,Arusha,Dom na Mwanza huo ujinga hatutaki..
Ndio maana Mbeya Ni namba 3 kwa GDP ila hata kumi ya mapato hatuko tujafanya magendo na kilimo hivyo hivyo kwa Sumbawanga tujafanya magendo na Zambia na Kongo..
Njoo kwetu home Kama tukechoka Kama watu wa Arusha.
Vijijini si ndio? Endeleeni kupauka sasa huko Mjini kwenu ambako watu wamejaa stress..Sumbawanga nakufahamu mbeya nakufahamu,bado uko ni vijijini
Nyie msilipe kodi mnadhani kuna mnae mkomoa sijuiVijijini si ndio? Endeleeni kupauka sasa huko Mjini kwenu ambako watu wamejaa stress..
Endeleeni kulipa Kodi na kulalamika.
Ndo hivyo sasa Mbeya GDP 9 ,Arusha 7 sasa jiulize wapi Kuna life zuri..
Ushamba mzigo!Kabisa mimi kwa dhati kabisa naunga mkono The United States of Arusha.
Vijana wa Arusha simama imara tujitenge. Tukiendelea na hii nchi yakuitwa Tz umasikini kamwe hauwezi isha.
Hili vuguvugu la kujitenga lisiishe. Hata kama haitafanikiwa leo basi watoto wa watoto wetu.
Arusha kwanza.
Sumbawanga umefika maeneo gani ?Sumbawanga nakufahamu mbeya nakufahamu,bado uko ni vijijini
Kumbe we ni mpemba? Dah ndo basi tena.😂😂😂Tulia dawa ikuingie
Jiji la kitalii lakini takwimu zake nyingi mtandaoni ni za uongoWadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu unique ambayo Ni POTENTIAL yenye Resources Adimu sana Sana kwa nchi hii hata Mwanza haikaribii ARUSHA kimapato hata kidogo nadhani hili mwalifahamu uzuuri.
Natumai mu wazima nyote humu ndani poleni na majukumu , Naomba mrejee kichwa Cha habari hapo juu hiyo Ndio mada lengwa hivyo kwa leo naomba nianze na issue ya TAKWIMU (metro area population ya Arusha city Uki search Google itakuja na kuleta idadi ya watu 519,000, yaani idadi hii inayoleta Ni idadi ya watu ya ARUSHA DC tu yaani wilaya moja tu, Kati ya wilaya zote 7, Yaani siku zote uki-search na ukitafuta data population ya Arusha city sehemu yeyote ile utaletewa jumla ya idadi ya watu hao laki 519,000 ambayo ni ya wilaya moja tu ya ARUSHA DC, lakin idadi nyingine ya watu ya hizo wilaya 7 zingine za Arusha city huwa zinaachwa pembeni hazijumlishiwi na hizo idadi za ARUSHA DC ambazo ni laki 519,000 ili kuleta idadi kamili ya metro area population ya Arusha city km inavyofanywa kwa majiji mengine km Mwanza ,au Dar Sasa huwa najuiliza Kwanini ni Arusha city pekee yake metro area population yake huwa inachukuliwa ya wilaya moja tu ya Arusha DC na kuachwa wilaya zengine 6, lakini ukiangalia City Kama Zanzibar, Dar, Mwanza na majiji mengine Metro area population yake haichukuliwi ya wilaya moja tu zinachukuliwa idadi za watu kutoka wilaya zote ili kuleta jumla kamili ya metro area population ya Mwanza, Dar na Zanzibar city na majiji mengine lakini kwa ARUSHA ni tofauti Ndio maana naona wazi ARUSHA CITY inahujumiwa Sana tu na SERIKALI na pia watu wenye wivu na ARUSHA CITY ili tu kusudi isiwe na maendeleo isipate wawekezaji lakini mbinu zote izo za hujuma za kuihujumu ARUSHA hazitafanikiwa Sababu ARUSHA resources zake za ku attract wawekezaji wa KITALII zinaonekana kwa macho bahati nzuri hao watu wenye nia ya kuihujumu ARUSHA CITY watashindwa kuzificha Wealth resources ambazo zinaonekana kwa macho na zitafanya wawekezaji waje ARUSHA kuwekeza kwenye sekta ya UTALIII na nyinginezo watake wasitake pamoja na kwamba wanafanya hujuma kila kukicha kuihujumu ARUSHA CITY kimaksudi na kuipaisha MWANZA
NA SASA HIVI WAMEANZA KUIPASHA ZANZIBAR KWA TAKWIMU za uwongo ili ety Zanzibar population ionekane ina population kubwa kuliko ARUSHA CITY, icho Ni kitu ambacho HAKIWEZEKANIKI hata kwa dawa Zanzibar ikawa na population kubwa kuliko ARUSHA CITY ispokuwa kwa watu ambao wanafkiria bila kutafakari wataliamini hili ,yaani kusema eti kwa sasa ZANZIBAR NDIO CITY Ipo mbele ya ARUSHA CITY kwa wingi wa watu huo Ni UONGO mkubwa Kama ambavyo mtu atasema kwa sasa Geita Ndio mkoa wenye idadi kubwa ya watu kuliko DAR ES SALAAM, Lakini kwa Mimi nahisi malengo ya hujuma hii kwa ARUSHA CITY Ni ya kupangwa hayajaanza leo kitambo Sana kutokana na uchunguzi niliofanya yakinifu Ni kama nilivyo elezea Apo juu ingawa ningependa pia kusikiza maoni yenu Kwanini ARUSHA CITY inahujumiwa tukianza na issue ya TAKWIMU za uwongo za metro area population hii inatokea kwa ARUSHA CITY pekee ake huwezi kukuta mkoa au City nyingine imewekwa metro area population total ya hujuma/uwongo Kama nilivyo hainisha Apo juu ,ila wadau naombeni tulenge mada tusiende opposite Mimi Ni mtanzania halisi baba yañgu Mtanzania mama mtanzania pia Nawasilisha.
View attachment 2412647
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu vijana wengi wa kutoka Arusha ni washamba Sana ndio maana hata Uchumi wa mkoa wao hawa umiliki wao bali ni vijana toka Moshi ndio wenye Maisha mazuri Arusha wameru walikalia kuvuta bhangi na kufanya biashara za magendo wakivaa viatu vikubwa na masharti ya mtumba wanajiona Wana sifa ya kuwa nchi [emoji1787][emoji1787]
Kwanini mradi huu mpya wa maji hauunganishwi upande wa chini Maji ya chai?
Kule maji ya Chai Sabato, hili jambo linanikera sana kwa kweli.
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...