Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Ndio nakuambia ni hao uliokutana naoYani nyie na majirani zenu hapo manyara wengi ndo tabia zao hizo arrrgggh ukakasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio nakuambia ni hao uliokutana naoYani nyie na majirani zenu hapo manyara wengi ndo tabia zao hizo arrrgggh ukakasi
Kama unataka kuolewa we sema[emoji38][emoji38][emoji38]
Chap nije Kutoa posa............
Mtu ambaye huna mbele Wala nyuma
Utaniambia nini ?
Bwabwa wewe
Kwani si kweli mnanuka mavi dar??mashoga kila nyumbaMbona mna matusi sana jamani? kwa nini tusijadili hoja kwa ustaarabu
Bw. Gerald Kusaya amesema wamefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mfanyabiashara wa Kaloleni jijini Arusha Abdulnasir Haroun Kombo akiwa na biskuti 50 zilizotengenezwa kwa kutumia dawa ya kulevya aina ya bangi kama moja ya malighafi akiwa anaziuza eneo la Kaloleni jijini Arusha. CLOUDS REPORT.tumeshawaambia
Ndio kwani ulikuwa hujui sisi tuna nchi yetu under one republic of Arusha mbona tumeshawaambia sisi kitambo hatuitambui iyo serikali yenu ya mkoloni mweusi sisi tunaitambua serikali moja tu ya the Arusha republic (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA ,nchi ya muunganiko wa Moshi na Arusha sababu hata tokea ukoloni ilikuwa Ni moja Ni hii serikali yenu ya kikoloni ndiyo ilitutenganisha na Hilo sisi tunalijua vyema Ndio nikatangulia kusema Arusha na Moshi Ni ndugu wa Damu tokea awali mnaumia nn sisi kuungana kuwa na jamhuri yetu Ndio maana tumerudia asili yetu ya kuungan kuwa na jamhuri yetu wenyewe the Arusha republic ,imekuuma kunywa sumu ufie mbali
Shoga wewe na babako mliotoana marinda baada ya kula bangi.Kwani si kweli mnanuka mavi dar??mashoga kila nyumba
Mashoga kila nyumba,mnanuka mavi 🤫🤫🤫Shoga wewe na babako mliotoana marinda baada ya kula bangi.
Nani kakwambia mimi naishi Dar?
FactNarudia tena.
Haina haja kutukanana kuhusu makabila yetu mazuri yakiafrika.
Huku mtaani watu hawana shida, wanasaidiana kila siku iwe mchaga, mpare, mdigo, msukuma, msambaa, mhaya, Mbeya, mmasai, mmeru, mkinga, mzanaki, mkwere, myao, mtindiga, mmakonde, mmang’ati, msonjo, nk
Ni huku online tu, hivi vita vipo. Changamsha jamvi.
Ila ngoja niseme kitu. Watu wa A town, kwasababu ya tourism activities + elimu imesaidia sana kuwa na ile superior mindset.
Watu wameanza kumiliki pesa kitambo, watu wameishi nje kitambo, wakati familia za kawaida hawafahamu hata maana ya kwenda safari Serengeti au Tarangire, hapa Chuga watu wanafanya hizo mambo.
Pia wageni kutoka nje wanasema hili wazi tu.
Wakazi wa A town wapo sharp.
Simaanishi kila mtu, ni smart, hell no. Wapo vilaza wengi tu A town. Nazungumzia on average.
Nimeona mnahusisha bangi na vitu visivyofaa, lakini sio ukweli kabisa wapo watu wanatumia na ni watu wastaarabu kabisa vivyo hivyo kwa vilevi vyengine kama pombe n.k. Mfano mzuri ni Obama anatumia bangi na alikuwa Raisi Marekani Bob Marley alikuwa mwanaharakati aliyefikirisha vichwa vya watu wengi na viongozi wakubwa Duniani.Bw. Gerald Kusaya amesema wamefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mfanyabiashara wa Kaloleni jijini Arusha Abdulnasir Haroun Kombo akiwa na biskuti 50 zilizotengenezwa kwa kutumia dawa ya kulevya aina ya bangi kama moja ya malighafi akiwa anaziuza eneo la Kaloleni jijini Arusha. CLOUDS REPORT.
Huwezi kutumia bangi toka ukiwa mtoto halafu ukubwani uwe na akili timamu. NEVER
Taja wa Arusha mtumia bangi anayefikirisha ulimwengu.Nimeona mnahusisha bangi na vitu visivyofaa, lakini sio ukweli kabisa wapo watu wanatumia na ni watu wastaarabu kabisa vivyo hivyo kwa vilevi vyengine kama pombe n.k. Mfano mzuri ni Obama anatumia bangi na alikuwa Raisi Marekani Bob Marley alikuwa mwanaharakati aliyefikirisha vichwa vya watu wengi na viongozi wakubwa Duniani.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hata akimtaja utamjua?Taja wa Arusha mtumia bangi anayefikirisha ulimwengu.
Kama sitamjua ujue aliyetajwa ni mtu nothing katika taifa hili.Hata akimtaja utamjua?
So wewe unawajua watu wote wa muhimu katika nchi hii?Kama sitamjua ujue aliyetajwa ni mtu nothing katika taifa hili.
Hadi wa huko duniani ilimradi wawe wa mhimu. Arusha hakuna mvuta bangi mwenye akili, wote ni kuvuta na kuvaa mashati makubwa kama mapoyoyo.So wewe unawajua watu wote wa muhimu katika nchi hii?
Aisee nilikuwa nafikiri najadiliana na Mtu ambaye at least ana nia ya kuelewa au kueleweshwa kumbe wewe upo kishabiki na kupondaHadi wa huko duniani ilimradi wawe wa mhimu. Arusha hakuna mvuta bangi mwenye akili, wote ni kuvuta na kuvaa mashati makubwa kama mapoyoyo.
Arusha ndo ifanye nihangaikie kutafut top 10 wa toka enzi hizo? Nisije nikawa naongea na mvuta bangi hapa!!Aisee nilikuwa nafikiri najadiliana na Mtu ambaye at least ana nia ya kuelewa au kueleweshwa kumbe wewe upo kishabiki na kuponda
Watu wa Arusha wasingekuwa na akili wasingefanya mambo ya maendeleo kama wanavyofanya huku serikali ikiwasupport kwa asilimia ndogo sana
Pia, ufaulu kwa Wanafunzi upo vizuri....ingia kwenye Web ya NECTA na uangalie wanafunzi walioshika Top Ten kitaifa kuanzia 2010 mpaka leo wa Arusha ni wangapi?
Utasemaje Bangi inawaathiri? Kwa ushahidi upi?
Wewe una umbea na udaku kama Mwanamke, utafiri ulibebeshwa mimba na Mtu wa Arusha kisha akakutelekezaArusha ndo ifanye nihangaikie kutafut top 10 wa toka enzi hizo? Nisije nikawa naongea na mvuta bangi hapa!!
Kwa hiyo hao walioingia top ten kutoka arusha walikuwa wanavuta bangi wakiwa wanaenda kwenye mitihani?Wewe una umbea na udaku kama Mwanamke, utafiri ulibebeshwa mimba na Mtu wa Arusha kisha akakutelekeza
Mimi naenda na Facts, wewe unaenda kimbea
Unapata wapi ujasiri wa kubishana na mtu ambaye akiona wazungu anamkimbilia mama yake akisema maa maaa nimeona wanyonya damu?Wewe una umbea na udaku kama Mwanamke, utafiri ulibebeshwa mimba na Mtu wa Arusha kisha akakutelekeza
Mimi naenda na Facts, wewe unaenda kimbea
Mzungu ndo nani? Nyie wavaa marapurapu mnamatatizo sana! Ndo maana mnafirwa sana!Unapata wapi ujasiri wa kubishana na mtu ambaye akiona wazungu anamkimbilia mama yake akisema maa maaa nimeona wanyonya damu?