Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Leta figure sio maneno maneno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna fortes safaris,Kuna masumin safaris tour ,Kuna rock city tour agency just to mention a few ...
Unavyosema mwanza hamna quality hotel automatically unaonekana gone crazy [emoji47].
Mwanza imezidiwa na Arusha hotel ya nyota Tano tu ambazo Arusha hazifiki hata nne ...(Gran melia,kibo palace,na naura spring) .
Mwanza wana nyota 5 Moja na nyingine inajengwa
Nyota nne kama zote ,nyota 3 ndo Usiseme soon baada ya uwanja wa ndege kukamilika,,,,, tourist destination hub zinaenda kubadilika Kwa Kila circuit..mwanza itakuwa western circuit hub ,iringa ni southern circuit,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawajaanza leo. Ilihali watu wa Arusha tangu zamani wanachangia pato kubwa la Taifa kwa uchakarikaji ila serikali inawatenga.

Sehemu kubwa ya miradi ya maendeleo sasahivi Arusha inafanywa na wenyeji wenyewe.
nadhani arusha wawekezaji wakubwa ni wakazi wa moshi.
 
We wa Sumbawanga ndio unamaisha mazuri?
Labda kama unadinywa uko
Mimi Nina makazi sehemu 2 ,Mbeya na Sumbawanga..

Huku hatutaki ujinga wa kupeleka Kodi zetu' seikalini ili zikajenge Dar,Arusha,Dom na Mwanza huo ujinga hatutaki..

Ndio maana Mbeya Ni namba 3 kwa GDP ila hata kumi ya mapato hatuko tujafanya magendo na kilimo hivyo hivyo kwa Sumbawanga tujafanya magendo na Zambia na Kongo..

Njoo kwetu home Kama tukechoka Kama watu wa Arusha.
 
Sumbawanga nakufahamu mbeya nakufahamu,bado uko ni vijijini
 
Ushamba mzigo!
Hata maana ya neno "United state" hujui maana yake!
 
Jiji la kitalii lakini takwimu zake nyingi mtandaoni ni za uongo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Narudia tena.

Haina haja kutukanana kuhusu makabila yetu mazuri yakiafrika.

Huku mtaani watu hawana shida, wanasaidiana kila siku iwe mchaga, mpare, mdigo, msukuma, msambaa, mhaya, Mbeya, mmasai, mmeru, mkinga, mzanaki, mkwere, myao, mtindiga, mmakonde, mmang’ati, msonjo, nk

Ni huku online tu, hivi vita vipo. Changamsha jamvi.

Ila ngoja niseme kitu. Watu wa A town, kwasababu ya tourism activities + elimu imesaidia sana kuwa na ile superior mindset.

Watu wameanza kumiliki pesa kitambo, watu wameishi nje kitambo, wakati familia za kawaida hawafahamu hata maana ya kwenda safari Serengeti au Tarangire, hapa Chuga watu wanafanya hizo mambo.

Pia wageni kutoka nje wanasema hili wazi tu.

Wakazi wa A town wapo sharp.

Simaanishi kila mtu, ni smart, hell no. Wapo vilaza wengi tu A town. Nazungumzia on average.
 
Kwanini mradi huu mpya wa maji hauunganishwi upande wa chini Maji ya chai?
Kule maji ya Chai Sabato, hili jambo linanikera sana kwa kweli.

It will take them years before they do that.

Hawajali kitu man. Jiongezeni hapo mtaa msipo komaa mafisadi wanakula pesa.
 
Itasikitisha sana endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...

Taarifa ni za kweli.

Arusha imeachwa mtoto yatima. Sasa mtoto yatima anaenda kuunda nchi huru. Kodi tunakusanya wenyewe, tunajenga barabara, maji, umeme, more opportunities kwenye sector ya tourism, kwneye kilimo.

Tukiungana na kuwa na utulivu wa akili tunaweza 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…