Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Mr msukuma nakuambiah hivi Tuliza mawenge na mihemko acha kupaniki Rudi kwenye mada acha kuandika mipasho hapa hatupo kwenye kupashana sawa eeh Rudi kwenye mada huwez kunywq maji ukalale au umtafute shoga mwenzio mpashane sawa eeh nirudie tu kusema kwamba tayari Moshi na Arusha tumesha ungana km tulivyo kuwa wamoja tangu ukoloni na kuunda jamhuri yetu wenyewe nchi yetu,the Arusha republic (USA),THE UNITED STATE OF ARUSHA ,Na soon itatambulika internationally na UNO, KM Nchi huru ili kusudi tuzitumie resources zetu za Arusha na moshi ili tuzinjenge Moshi na Arusha wenyewe na nchi yetu itakuwa newyork ya 2 ,na Arusha itakuwa jiji no,1 Africa nzima na hapo Ndio itakuwa mwisho wa iyo serikali yenu ya kibaguzi ya mkoloni mweuc kututawala kinguvu na kuchota mapato na kwenda kuijenga dar ,maflyover, barabara ,hapo Ndio iyo serikali yenu ya kibaguzi itajuta kwanini ilikuwa Ina fanya ( UNEQUAL DISTRIBUTION OF RESOURCES) ,maksudi ili kutuhujumu Moshi na Arusha wakati sisi Ndio very potential areas Tz nzima na labda nkuambie tu sisi watu wa kaskazini (Arusha na Moshi) huwa hatunaga mentality ya uwoga na hofu sisi Ni majasiri kwahiyo tukiwa na adhima ya kufanya Jambo letu huwa hatumwogopagi mtu anaitwa binadamu anayetembea km sisi ,pia hatuogopagi kitwa inaitwa risasi au ety kitu inaitwa bomu,au ety kitu inaitwa chombo yoyote ya moto huwa tunaviona Ni uchafu tu vikitumika ety kuzuia sisi tusifanye adhma yetu Hilo halitawezekana hao watakao jaribu kutuzuia pamoja na izo takataka zao walizo zibeba tutawafanya mito ya damu na pia tutawafanya mabucha sisi hatunaga mchezo kwenye kudai haki zetu ama zetu ama zao zao wafe Wao au tufe sisi km inakuuma Sana kunywa sumu kafie mbali huko sawq eeh ,over ,,,,over
Chomoa ujambe huko shoga ww usa ya nyoko
 
Narudia tena.

Haina haja kutukanana kuhusu makabila yetu mazuri yakiafrika.

Huku mtaani watu hawana shida, wanasaidiana kila siku iwe mchaga, mpare, mdigo, msukuma, msambaa, mhaya, Mbeya, mmasai, mmeru, mkinga, mzanaki, mkwere, myao, mtindiga, mmakonde, mmang’ati, msonjo, nk

Ni huku online tu, hivi vita vipo. Changamsha jamvi.

Ila ngoja niseme kitu. Watu wa A town, kwasababu ya tourism activities + elimu imesaidia sana kuwa na ile superior mindset.

Watu wameanza kumiliki pesa kitambo, watu wameishi nje kitambo, wakati familia za kawaida hawafahamu hata maana ya kwenda safari Serengeti au Tarangire, hapa Chuga watu wanafanya hizo mambo.

Pia wageni kutoka nje wanasema hili wazi tu.

Wakazi wa A town wapo sharp.

Simaanishi kila mtu, ni smart, hell no. Wapo vilaza wengi tu A town. Nazungumzia on average.
Kajambe mbele
 
Wewe kenge tulia.

Soon baada ya kuwa huru kila wilaya inakuwa jimbo/state.

Hiyo maana yake wanatunga sheria zao zinazofit majimbo/states zao.

Halafu tunakuwa na federal government. Mwamuzi wa masuala yote yanayohusu nchi.

Wewe kilaza nauhakika unapagawa ukinisoma.

Au unabisha
 
Kwa hyo unatak kisemaje😀😀😀😀nyiemkipewa hiko kimkoa chenu sekal itakuta kimeshauzwa kenya kila mtu katambaa na mia😀😀😀nmeelewa kwa nn nyie hamfai kupewa nchi
Nimeona mnahusisha bangi na vitu visivyofaa, lakini sio ukweli kabisa wapo watu wanatumia na ni watu wastaarabu kabisa vivyo hivyo kwa vilevi vyengine kama pombe n.k. Mfano mzuri ni Obama anatumia bangi na alikuwa Raisi Marekani Bob Marley alikuwa mwanaharakati aliyefikirisha vichwa vya watu wengi na viongozi wakubwa Duniani.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wana ionea wivu dar..nmepangwa kaz arushs ika cjapaelwqa kabsa nafanya mpango nhamie dar .mamtu majibga kwl yan arusha inaitwa geneva of africa na dar itsitwaje? Na miji ya south huko je dah
Kazi gani utapangiwa wewe mtu mwenywe kuandika na kuunda herufi Kuna kupiga chenga
 
Arusha maeneo yote wanayoringia hayapo mkoani kwao.

Walikuwa wanaringia Tanzanite na Mererani hili eneo lipo wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara

Walikuwa wanaitaja Serengeti hii mbuga ipo Mkoa wa Manyara, Mara na Simiyu.
Sasa hivi mageti ya kuingia hifadhini yanafunguliwa Simiyu, Mara.
Pakijengwa uwanja wa kisasa wa Ndege Mwanza ujue Arusha inazikwa.
Kwa sababu ni karibu zaidi kutoka Mwanza kwenda Serengeti kuliko Arusha.

Mlima Kilimanjaro upo mkoa Mwingine yaani Moshi.

Hivyo unagundua Arusha itazidi kunywea baada ya miaka 15 ijayo.

Watake wasitake
Ulipata hata C ya geography kweli wewe?
 
Acheni ubinafsi na upumbavu mnatengwa kwa lipi au mnataka kila kitu kipelekwe kwenu je watu wa mikoa mingine wasemeje, mbona watu wa Mikoa mingine hawalii kama nyie, mnapenda sana mbeleko za kijinga.
Mkuu mbona Magufuli alipeleka kila kitu kanda ya ziwa??
Arusha haijawah mtoa rais kumbuka kitu gani unachokijua serikali iliwahi peleka Arusha?
 
Arusha ni mkoa ambao 90% ni nguvu za serikali kuanzia kujengwa kwa mahoteli na bunge la east Africa...Twende mkoa kama mkoa una nn cha maana cha asilia ,Ebu angalia mavyuo ,ofisi kibao zipo huko zote ni juhudi za serikali na system nzima.

Hakuna kitu mnazlisha hata hayo madini ni ya kwenda nje ...Sasa jaribu hata kufikiria kuhusu mbeya na mora wanazlishwa ni ni maeneo potential kwa uchumi wa bongo wanalisha mikoa kibao kuanzia mazao mpaka matunda hayo yote ni kutokana na asili ya maeneo hayo kwa ajili ya kilimo..wanachangia GDP

Arusha mapto yote ni kutokana na biashara base zilizowekwa na hazina impacts kwa mtu mmoja mmoja kuliko kilimo kinagusa mpaka mtu mwisho hata maofisi ya dar mengi ni artificial yanaweza leo kuhamishwa dodoma na dodomq ikawa na mapto kuliko dar ...ila kwamwe ile ardhi yenye rutuba ya mbeya na Moro huwezi ipeleka Dodoma watabaki na ukame wao.


Huwezi kuzungumzia kwamba potential kuchangia how comes ? Dar iko 89% ya mapato yote sasa Kuna ulazima gani wa kuendelea hako kamkoa ...Dodoma inakuja mjiandae kwamba mko wachache wengi wanakimbia.
Embu Taja
Hotel za serikali Arusha
Taja vyuo vya serikali vilivyopo Arusha
Nafikiri miradi ya serikali sana sana ya jumuiyq ya EAC
 
Eti USA mbona mnadhalilisha jf kwa kujitia great thinkers?? Hyo Ar hata uunganishe na Kilimanjaro ina hadhi ya kuitwa USA? Hadi mnatia aibu mnavojiona wa maana huku mkiandika urojo mtupu.
Aisee ikitokea Ar ikaunganishwa na kilimanjaro na bandari ya Tanga basi ndio itageuka Singapore au Taiwan wakat Tanganyika kwingine kutabaki congo na Sierra Leon
 
Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu unique ambayo Ni POTENTIAL yenye Resources Adimu sana Sana kwa nchi hii hata Mwanza haikaribii ARUSHA kimapato hata kidogo nadhani hili mwalifahamu uzuuri.

Natumai mu wazima nyote humu ndani poleni na majukumu , Naomba mrejee kichwa Cha habari hapo juu hiyo Ndio mada lengwa hivyo kwa leo naomba nianze na issue ya TAKWIMU (metro area population ya Arusha city Uki search Google itakuja na kuleta idadi ya watu 519,000, yaani idadi hii inayoleta Ni idadi ya watu ya ARUSHA DC tu yaani wilaya moja tu, Kati ya wilaya zote 7, Yaani siku zote uki-search na ukitafuta data population ya Arusha city sehemu yeyote ile utaletewa jumla ya idadi ya watu hao laki 519,000 ambayo ni ya wilaya moja tu ya ARUSHA DC, lakin idadi nyingine ya watu ya hizo wilaya 7 zingine za Arusha city huwa zinaachwa pembeni hazijumlishiwi na hizo idadi za ARUSHA DC ambazo ni laki 519,000 ili kuleta idadi kamili ya metro area population ya Arusha city km inavyofanywa kwa majiji mengine km Mwanza ,au Dar Sasa huwa najuiliza Kwanini ni Arusha city pekee yake metro area population yake huwa inachukuliwa ya wilaya moja tu ya Arusha DC na kuachwa wilaya zengine 6, lakini ukiangalia City Kama Zanzibar, Dar, Mwanza na majiji mengine Metro area population yake haichukuliwi ya wilaya moja tu zinachukuliwa idadi za watu kutoka wilaya zote ili kuleta jumla kamili ya metro area population ya Mwanza, Dar na Zanzibar city na majiji mengine lakini kwa ARUSHA ni tofauti Ndio maana naona wazi ARUSHA CITY inahujumiwa Sana tu na SERIKALI na pia watu wenye wivu na ARUSHA CITY ili tu kusudi isiwe na maendeleo isipate wawekezaji lakini mbinu zote izo za hujuma za kuihujumu ARUSHA hazitafanikiwa Sababu ARUSHA resources zake za ku attract wawekezaji wa KITALII zinaonekana kwa macho bahati nzuri hao watu wenye nia ya kuihujumu ARUSHA CITY watashindwa kuzificha Wealth resources ambazo zinaonekana kwa macho na zitafanya wawekezaji waje ARUSHA kuwekeza kwenye sekta ya UTALIII na nyinginezo watake wasitake pamoja na kwamba wanafanya hujuma kila kukicha kuihujumu ARUSHA CITY kimaksudi na kuipaisha MWANZA

NA SASA HIVI WAMEANZA KUIPASHA ZANZIBAR KWA TAKWIMU za uwongo ili ety Zanzibar population ionekane ina population kubwa kuliko ARUSHA CITY, icho Ni kitu ambacho HAKIWEZEKANIKI hata kwa dawa Zanzibar ikawa na population kubwa kuliko ARUSHA CITY ispokuwa kwa watu ambao wanafkiria bila kutafakari wataliamini hili ,yaani kusema eti kwa sasa ZANZIBAR NDIO CITY Ipo mbele ya ARUSHA CITY kwa wingi wa watu huo Ni UONGO mkubwa Kama ambavyo mtu atasema kwa sasa Geita Ndio mkoa wenye idadi kubwa ya watu kuliko DAR ES SALAAM, Lakini kwa Mimi nahisi malengo ya hujuma hii kwa ARUSHA CITY Ni ya kupangwa hayajaanza leo kitambo Sana kutokana na uchunguzi niliofanya yakinifu Ni kama nilivyo elezea Apo juu ingawa ningependa pia kusikiza maoni yenu Kwanini ARUSHA CITY inahujumiwa tukianza na issue ya TAKWIMU za uwongo za metro area population hii inatokea kwa ARUSHA CITY pekee ake huwezi kukuta mkoa au City nyingine imewekwa metro area population total ya hujuma/uwongo Kama nilivyo hainisha Apo juu ,ila wadau naombeni tulenge mada tusiende opposite Mimi Ni mtanzania halisi baba yañgu Mtanzania mama mtanzania pia Nawasilisha.

View attachment 2412647
sio ARUSHA tu,ata MOSHI town inahujumiwa sana!!
 
Embu Taja
Hotel za serikali Arusha
Taja vyuo vya serikali vilivyopo Arusha
Nafikiri miradi ya serikali sana sana ya jumuiyq ya EAC
Promoted tourism city ...Hivyo vyuo mmejenga nyie wakazi wa Arusha?
 
Promoted tourism city ...Hivyo vyuo mmejenga nyie wakazi wa Arusha?
Vyuo vipi vimejengwa na serikali Arusha??
Au Arusha tech??
Nadhani technical college zipo kila mkoa. Utali ni uwekezaji binafsi serikali haifanyi biashara ya utalii.
vyuo Arusha ni
Nelson Mandela (binafsi?
Makumira (Lutheran)
Adventist college (wasabato)
Uhasibu Njiro (nadhan ya serikali)
Olmotonyi forestry college (serikali)
unatoa hoja huna mifano shida yako
 
Vyuo vipi vimejengwa na serikali Arusha??
Au Arusha tech??
Nadhani technical college zipo kila mkoa. Utali ni uwekezaji binafsi serikali haifanyi biashara ya utalii.
vyuo Arusha ni
Nelson Mandela (binafsi?
Makumira (Lutheran)
Adventist college (wasabato)
Uhasibu Njiro (nadhan ya serikali)
Olmotonyi forestry college (serikali)
unatoa hoja huna mifano shida yako
Hivyo vyuo nu uwekezaji kutokana na sera za nchi ,mbona hujiulizi Dar kuna uwekezaji mkubwa wa private sectors?

Au wawekezaji wote ni wakazi wa Arusha Tu...Huzo hotel ni kwa vile mji umepewa sifa ya utalii hata uende kiduniani tyari ushakuwa promoted kuna ni sehemu ya utalii ,yeyote anaweza kuwekeza hata viwanda vipo vingi.
 
Mkuu mbona Magufuli alipeleka kila kitu kanda ya ziwa??
Arusha haijawah mtoa rais kumbuka kitu gani unachokijua serikali iliwahi peleka Arusha?
Unaongea ukiwa unakaribia kumwaga bao juu ya kifua cha malaya kwanini mnajitoa akili, ukiacha Dar kuna sehemu inakula shavu/mema ya nchi kama nyie na Dodoma au unataka nitaje vitu mlivyopendelewa?
 
Amewapa barabara njia nne, amewapa mradi wa maji wa bilion 520 ili meno yenu yasizidi kuungua kama kutu za mitaa tandale, amewapa mabarabara kwenye CBD yenu iliyokuwa imejaa matope na vumbi, amewafufulia train iliyokufa zaidi ya miaka 24, na mambo mengi au alitaka awasidie adi kuwagonga wake zenu.
 
Back
Top Bottom