Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Resources Gani mlizo nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Resources nyingi za Arusha hazinufaishi arusha.

Na hiyo HAIKUBALIKI

Haiwezekani pesa zote zinazotoka huu mkoa halafu maji shida, barabara shida, vijana wetu na mama zetu wanaishi kwa shida.

Hiyo haikubaliki.
 
Ulichoandika umeandika kwa jazba plus matusi, sisi wazee huwa hatujibu kwa ujinga na utoto.

Nakusahihisha kuwa umesahau nguvu ya serikali ndiyo iliyowezesha kufanikisha hilo na elewa pasipo serikali ya wananchi hakuna lolote mwananchi anafanya yeye kama yeye.

POLE SANA.
 
Wewe jinga inaonyesha huelewi unachosimamia.

Sasa kuzidiwa au kutozidiwa population hiyo inanisaidia nini mimi?

Hapa tunazungumzia serikali kupuuza arusha.
Kelele za nn? Sasa unapayuka mtoto wa kiume .
 
Angalia hyo 11% ndo mikoa yote iliyobaki😂😂😂
Waambie kaka Arusha Haina mpinzani nchini inashika no,2 ki revenue na tax collection mwanza yenyewe haioni ndani mwanza bado % ndogo Sana ipitwe na Kilimanjaro ,halafu mnataka tunyamaze sisi watu wa Arusha cyo majinga tunaakili,tunajitambua ,hatuwez kubali hata kidogo resources zetu zilizopo Arusha zinanufaisha mikoa mingine ambayo hata cyo potentially hata kidogo halafu sisi tunaachwa maksudi tangu tupate Uhuru tupo vile vile ,hakuna mabadiliko yoyote Arusha alafu mapato yote yanakusanywa Arusha yanaenda kujenga dar,flyover,bridges,barabara,halafu sisi tunaachwa maksudi huu ujinga tumechshwa napArusha republic ipo mbioni kukamilika ili tuijenge Arusha kwa resources zetu wenyew ambazo Mungu ameibariki nazo Arusha ,nadhani hata Mungu hafurahii kuona serikali inavyoihujumu Arusha kimaksudi na kukusanya mapato potentially halafu kwenda kujenga miradi ya maendeleo dar,mwanza,Zanzibar huu ujinga hatuwez kuuvumilia Tena
 
Usibishane nae uelewa ni mdogo ni wale vijana wavaa nguo oversize hawajitambui wanakaririshwa kwamba wao wachapa kazi sijui mji wamejnga wenyewe 😂😂😂
 
Ebu jifunze kuandika kwanza.
 
😂😂😂Vijana njooni niwape elimu ya kujitambua izo bhangi tulivuta tukiwa wadogo ...Ndo maana uhuni uko unafanya now kwamba ndo ujanja sisi tulifanya tukiwa underground kwa sasa tunaelewa nn tunafanya!
 
Usibishane nae uelewa ni mdogo ni wale vijana wavaa nguo oversize hawajitambui wanakaririshwa kwamba wao wachapa kazi sijui mji wamejnga wenyewe 😂😂😂
CYO usibishane nae sisi watu wa Arusha cyo wajinga tunajitambua Ndio maana tumeungana kupinga na hatuwez kubali Tena ujinga unaofanywa na SERIKALI kuchukua mapato potentially Arusha halafu kupaacha Arusha hakuna miradi yoyote ya maendeleo halafu badala take mapato yanatolewa Arusha yanaenda kujenga dar,maflyover,bridges,na miradi mingine mikubwa kila kukicha alafu Arusha tangu tupate Uhuru hakuna miradi yeyote inayofanywa na SERIKALI,Sasa wewe unadhani sisi Ni wajinga km ww unataka tulinyamazie swala hili polee sisi tumeungana tayari tumejipanga tayari hatutaki tena huu ujinga unaofanywa na SERIKALI uendelee mwisho wake utafika soon
 

duh!
 
Ndio Sababu tunazo natural resources very unique ambazo tunauwezo wa kuzitumia na kuijenga Arusha wenyewe na Arusha ikawa zaidi ya newyork kimaendeleo Apo unalo la kusema tena eeeh
Shida Arusha mnaifinyaga mikono iliyopaswa kuwalisha.
 
😂😂😂Kwamba wewe mna hotel moja ya kifamilia nyie kweny familia yenu..au wafuata mkumbo ...Pambana lazima uumie roho kwani ni kwenu ila ukweli ni serikali ndo imefanya mpaka nyie kuwa hapo
 
Ndio Sababu tunazo natural resources very unique ambazo tunauwezo wa kuzitumia na kuijenga Arusha wenyewe na Arusha ikawa zaidi ya newyork kimaendeleo Apo unalo la kusema tena eeeh
Resources zip?
 
Arusha mji uliojengwa bila mpangilio. Vurugu tupu.
 
T
Ipo wazi ARUSHA Ni very potential kwa kila kitu Hilo halina upinzani kabisa hapa tz

Tanzania nzima ni potential mkuu, basi tu hakuna mipango na usimamizi wa kimkakati kuendeleza taifa.

Bado siku 9 kombe la dunia mpira wa miguu litafanyika Qatar.

Ukiangalia nchi ya Qatar ni ndogo sana, Tanzania imeizidi mara 82.

Uchumi wao mkubwa ni mafuta, gesi na utalii, ila pesa wnayotengeneza na matumizi inasimamiwa vizuri

Tanzania tukijipanga tungeweza kufika na kuzidi. Kama ni gesi tunayo ya kutosha na rasilimali watu tuko milioni 61 ukilinganisha na milioni 2 ya Qatar

ila kwa sasa tumeshachelewa

kila mtu anajichukulia anachoona kama shamba la bibi

Kwa habari zaidi: Economy of Qatar - Wikipedia
qatar miaka ya 70




qatar ya sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…