Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 957
- 1,124
Umewasahau na wanamuziki maarufu wa kike, hasa wa Injili. 😀 😀 😀Hivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume
Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi
Wanawake Unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni Wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa
bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa
SahihiUmewasahau na wanamuziki maarufu wa kike, hasa wa Injili. 😀 😀 😀
Daaah,mkuu Mimi ni mke na mama wa watoto wawili!Misemo ya hivi kama sio lesbian basi ni gold dugger
Ni kama vile mafanikio kwa mwanamke.. kisiasa, kielimu, kiuchumi huwa yanafukuza/kuharibu swala la ndoa au mahusiano kwa ujumla.Hivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume
Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi
Wanawake Unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni Wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa
bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa
Usiandikie mate na wino upo, weka majina ya hao wanawake.Hivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume
Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi
Wanawake Unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni Wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa
bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa
Utao mke ambaye kila siku Yuko kwenye safari na vikao na wanaume hadi usiku wa manane? Yaani utapigiwa hadi uchanganyikiwe.Sijasema wote nimesema walio wengi.
Wengine ok wana ndoa ila ndoa zao huwezi ona hata siku moja wamepiga picha hata na hao waume zao wamebakiza tu majina ya kuitwa Mrs.
Toa takwimu za utafiti wakoHivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume
Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi
Wanawake Unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni Wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa
bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa
Yaani hawa wanawake viongozi/wanasiasa wa Tanzania ndio "strong women"!!!???Wanaume huwa hatujiamini kuwa na strong women
Kama ni weak mbona mnashindwaYaani hawa wanawake viongozi/wanasiasa wa Tanzania ndio "strong women"!!!???
Basi Tanzania kuna maana tofauti ya "strong woman"..
Kitu kimoja nilicho na uhakika nacho na ambacho nimekishuhudia ni kwa viongozi/wanasiasa wanawake wengi kuwa na "kujimwambafai" kiasi cha kuwapanda waume zao kichwani.
Kitu kingine ni kwamba hao wake/dada/mama/shangazi/binti zetu ni "visusio" vya viongozi wa kiume.
Jambo lingine linalochangia kutokuonekana kwa mahusiano mema ya hawa viongozi -ke, ni ukilaza wa wengi wao,hivyo kupelekea kwa mwanaume aliye vyema kichwani kutokuwa "proud" na kuwa na mahusiano na kilaza.
Je watawezana?Hivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume
Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi
Wanawake Unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni Wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa
bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa
that statement already shows lack of conviction in wat u are saying....wewe bwana sie wanaume tunataka tako na sura hizo degree zenu kawapeni baba zenu waliowasomesha. kwetu uzuri kwanza elimu is a bonus, kwanza ata elimu yenye kuiweka kama bonus ni kuwapendelea tuu maana hela zenu mnazopata upitia hizo elimu zenu we never benefit.Wapo wapo🤣🤣
Makubwathat statement already shows lack of conviction in wat u are saying....wewe bwana sie wanaume tunataka tako na sura hizo degree zenu kawapeni baba zenu waliowasomesha. kwetu uzuri kwanza elimu is a bonus, kwanza ata elimu yenye kuiweka kama bonus ni kuwapendelea tuu maana hela zenu mnazopata upitia hizo elimu zenu we never benefit.
UjuajiHivi kwa nini asilimia kubwa ya viongozi Wanawake wakubwa serikalini na taasisi zake wengi hawana waume
Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasiooleea au? Huu ni ubaguzi wa wazi
Wanawake Unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni Wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa
bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa
Kwa nini nisimsomeshe? Atasoma vizuri tuu tena nitampeleka shule nzuri kabisa maana kuna kila dalili za mtoto wangu wa kike kuwa na sura mbaya kama baba yake 🤣🤣🤣🤣. The uglier u r, the more books u shuld read!Makubwa
Kwahiyo mtt wako wa kike humsomeshi mzeiyaaa?
🤣🤣🤣🙌Kwa nini nisimsomeshe? Atasoma vizuri tuu tena nitampeleka shule nzuri kabisa maana kuna kila dalili za mtoto wangu wa kike kuwa na sura mbaya kama baba yake 🤣🤣🤣🤣. The uglier u r, the more books u shuld read!
Tuanze na yule wa uwtHivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi.
Wanawake unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa.
Bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa.
Mwee wazuri wanataka hela sie wenyewe maisha magumu tunaishia kupiga nyeto tuu🤣🤣🤣🙌
Itategemea umezaa na nani
Ukizaaa na mrembo atakua mrembo tu