Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Maisha ya walimu unayajua? Ni kuzimu ya ulimwenguHawana tofauti kubwa na maticha
Jeshi la magereza lipo chini ya wizara ya mambo ya ndani ya nchiwafanyakazi wote waserikali wanafanana haswa walioajiriwa na tamisemi maisha yao ni ya kubangaiza sana
"uongo, uongo,uongo, huo ni uongo bhana"...jamaa Wana hela kufuru...sema nini.....hawapendagi kabisa kujionyesha kama wafanyavyo watu wa TISS...
% kubwa watumishi wote wanafanana wanakuja kutofautiana katika ujanja ujanja tuHawana tofauti kubwa na maticha
Oya..ACHA ubishi!..unajua mi nani? ..."uongo, uongo,uongo, huo ni uongo bhana"
C ndio hao wa central gov maana magereza wa chini kabisa anakula 400k+Jeshi la magereza lipo chini ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi
Jamaa wa TISS sasa hivi wana maisha mazuri sana....jamaa Wana hela kufuru...sema nini.....hawapendagi kabisa kujionyesha kama wafanyavyo watu wa TISS...
Siku hizi wanasimamia mitihani ya taifa🤣🤣Hatari sana.
Unaweza kukaa magereza kwa miaka 20 na usipate dili hata la buku 2.
Ukiingia magereza kama hujatumia akili nyingi mwanzoni mwa utumishi wako umekwisha. Umekwisha kabisa.
Afadhali police na wanajeshi wanakuwa na allowance za ku escort mali za umma, kusimamia warsha mbalimbali.
Nadhani Askari magereza ndiye mtumishi duni kuliko wote Tanzania
Kati ya mwalimu na askari jela nani ana nafuu?Maisha ya walimu unayajua? Ni kuzimu ya ulimwengu
Hahahahahahaha we jamaa walimu wamekufanya nn me mbona mwalimu ila n katibu CWT mkoa na maisha mazuri kushinda wwMaisha ya walimu unayajua? Ni kuzimu ya ulimwengu