Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpwayungu amesikia kilio chenuJeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui?
Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao.
Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine.
Pili makazi yao duni sana hapa nazumgumzia kota za maaskari wa vyeo vya chini.
Kuna ambao tunakaa nao huku mtaani yaani wanatupiga sana vizinga hasa tarehe kama hizi.
Kwanini maisha yao yapo duni sio kama majeshi mengine?
Kuna kazi ukizifanya lazima mtu adumae akili kutokana na mazingira yanayo kuzunguka......Jeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui?
Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao.
Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine.
Pili makazi yao duni sana hapa nazumgumzia kota za maaskari wa vyeo vya chini.
Kuna ambao tunakaa nao huku mtaani yaani wanatupiga sana vizinga hasa tarehe kama hizi.
Kwanini maisha yao yapo duni sio kama majeshi mengine?
Tuwahurumie tu, ni mfungwa gani atakayebadilishana naye mawazoJeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui?
Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao.
Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine.
Pili makazi yao duni sana hapa nazumgumzia kota za maaskari wa vyeo vya chini.
Kuna ambao tunakaa nao huku mtaani yaani wanatupiga sana vizinga hasa tarehe kama hizi.
Kwanini maisha yao yapo duni sio kama majeshi mengine?
Bora hata mwalimu atasimamia mitihani au atafundisha masomo ya ziada...Kati ya mwalimu na askari jela nani ana nafuu?
Sasa jwtz wao wanafanya mazoezi ya kwenda kurushiana risasi, mizinga, makombora na adui wa nchi.Inasikitisha na inaumiza haswa halafu kibaya zaidi wanawaona wenzao jwtz wana shine kila siku,jwtz wanajengwa makazi ya kisasa+allowance.
Magereza na Polisi bado wanakaa kwenye kota za mabati
Ongeza sauti Kuna mwalimu yupo kwangu hajaskiaKwa nchi za ulimwengu wa tatu kama Tanzania, mtumishi wa ngazi ya chini wa serikali ukiishi kwa kutegemea mshahara kiduchu mwisho wa mwezi; lazima udhalilike.
Walimu ngoma ngumu wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][mention]Mpwayangu village [/mention] vipi askari magereza na walimu wote wako jehanamu ya Tanzania au kuzimu?
Kifupi maisha ya bongo usipo jiongeza unadhalilika uwe askari polisi, magereza, uhamiaji , mwalimu , mtumishi almashauri sijui wewe mkufunzi wote wana namna yao ya kujiongeza la sivyo unadhalilika mapema sana.Jeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui?
Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao.
Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine.
Pili makazi yao duni sana hapa nazumgumzia kota za maaskari wa vyeo vya chini.
Kuna ambao tunakaa nao huku mtaani yaani wanatupiga sana vizinga hasa tarehe kama hizi.
Kwanini maisha yao yapo duni sio kama majeshi mengine?
sasa posho wanapata wapi, askari wa kawaida hakosi 20-30k akiwa na akili nzuri , wafungwa hawana helaJeshi la Magereza ni kama limesahaulika hivi au ndio mimi sijui?
Askari magereza wengi hasa wa vyeo vya chini maisha yao ni duni sana kwanzia kazini mpaka huku uraiani tunapoishi nao.
Kwanza wengi wao uniform zao ni zimechakaa na kupauka tofauti sana na majeshi mengine.
Pili makazi yao duni sana hapa nazumgumzia kota za maaskari wa vyeo vya chini.
Kuna ambao tunakaa nao huku mtaani yaani wanatupiga sana vizinga hasa tarehe kama hizi.
Kwanini maisha yao yapo duni sio kama majeshi mengine?
Labda uwe TISS ndio unaweza ukahamaIvi haiwezekani kuhama magereza kwenda polisi kawaida? Ama ukishakua magereza ndo hapo hapo
Ningeshangaa sana uzi uishe mwalimu hajatajwaHawana tofauti kubwa na maticha
Hao sio wa mchezo mchezo. Wakishika nchi masharobaro na maslay queens wote wananyooka.Kifupi maisha ya bongo usipo jiongeza unadhalilika uwe askari polisi, magereza, uhamiaji , mwalimu , mtumishi almashauri sijui wewe mkufunzi wote wana namna yao ya kujiongeza la sivyo unadhalilika mapema sana.
Serikali uwa inajiongeza yenyewe kwa wanajeshi tu maana hao hawatanii..
Hawa watu (wanajeshi) waacheni tu wanaweza toa amri nchi zima tulale saa kumi na mbili jioni na wote tukatiii kwa nguvuu hata rais nae analala muda huohuo..😅
Nilijua tu hamkosekanagi Walimu hapo unajisema mwenyewe[emoji1787][emoji1787]Hawana tofauti kubwa na maticha
Magereza ni kama kichwa hakiamishikiIvi haiwezekani kuhama magereza kwenda polisi kawaida? Ama ukishakua magereza ndo hapo hapo