njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Oyooooh!! Mambo bampa tu bampa walimu watapumzika kidogo watu wamehamia kwa askari magereza ila masingle mama msijisahau muda wowote mtakumbukwa tena asee nini hiki?!! Naona katibu mwenezi w chama cha kataa ndoa ananivuta shati hapa anasema ana jambo lake hajamaliza kwa mbali namuona mwenyekiti wa wamiliki wa passo anakuja nafikiri kuna jambo pia sio bure ,stay tuned