Kwanini Askari Magereza wengi wanaishi maisha magumu?

Ila nazi hata mapolisi pia wanahali NGUMU SANA
 
Ni kweli Tamisemi ule ni mkosi.
Kwa magereza wapo chini ya Tume ya Polisi na Magereza, wenzao wa mahakama tume yao imeboresha maslahi na mazingira ya kazi kwa kiasi cha kuridhisha.
Inasikitisha na inaumiza haswa halafu kibaya zaidi wanawaona wenzao jwtz wana shine kila siku,jwtz wanajengwa makazi ya kisasa+allowance.
Magereza na Polisi bado wanakaa kwenye kota za mabati
 
Mmeamaliza ya walimu mmeahamia kwa magereza

USSR
 
Miradi ya magereza ilivyo mingi ukiwa mjanja unatoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…