Kwanini Askari Magereza wengi wanaishi maisha magumu?

mpwayungu amesikia kilio chenu
 
Kuna kazi ukizifanya lazima mtu adumae akili kutokana na mazingira yanayo kuzunguka......

Kwenye izo Kaz Kuna watu wamejiongeza japo hawana vyeo lakini wamejiwekeza na wanaishi vyema...KUPANGA NI KUCHAGUA...

NINGEKUA MM KUHUSU SARE CHAKAVU NINGESHONESHA ZA KWANGU MM TANGIA MTOTO MDOGO HUWAGA SIPENDI KUAMCHAFU MCHAFU AU KUVAA NGUO ZILIZO FUBAA...SEMA MAASKARI WENGI HUPENDA VYA MR. BURE😎 PLUS OFFER...
 
Tuwahurumie tu, ni mfungwa gani atakayebadilishana naye mawazo
 
Inasikitisha na inaumiza haswa halafu kibaya zaidi wanawaona wenzao jwtz wana shine kila siku,jwtz wanajengwa makazi ya kisasa+allowance.
Magereza na Polisi bado wanakaa kwenye kota za mabati
Sasa jwtz wao wanafanya mazoezi ya kwenda kurushiana risasi, mizinga, makombora na adui wa nchi.

Wakati magereza anafanya mazoezi ya kulinda kibaka sasa hapo huoni hawa watu ni tofauti kabisa.
 
Kifupi maisha ya bongo usipo jiongeza unadhalilika uwe askari polisi, magereza, uhamiaji , mwalimu , mtumishi almashauri sijui wewe mkufunzi wote wana namna yao ya kujiongeza la sivyo unadhalilika mapema sana.

Serikali uwa inajiongeza yenyewe kwa wanajeshi tu maana hao hawatanii..

Hawa watu (wanajeshi) waacheni tu wanaweza toa amri nchi zima tulale saa kumi na mbili jioni na wote tukatiii kwa nguvuu hata rais nae analala muda huohuo..😅
 
Ivi haiwezekani kuhama magereza kwenda polisi kawaida? Ama ukishakua magereza ndo hapo hapo
 
sasa posho wanapata wapi, askari wa kawaida hakosi 20-30k akiwa na akili nzuri , wafungwa hawana hela
 
Hao sio wa mchezo mchezo. Wakishika nchi masharobaro na maslay queens wote wananyooka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…