Kwanini Askari Magereza wengi wanaishi maisha magumu?

Oyooooh!! Mambo bampa tu bampa walimu watapumzika kidogo watu wamehamia kwa askari magereza ila masingle mama msijisahau muda wowote mtakumbukwa tena asee nini hiki?!! Naona katibu mwenezi w chama cha kataa ndoa ananivuta shati hapa anasema ana jambo lake hajamaliza kwa mbali namuona mwenyekiti wa wamiliki wa passo anakuja nafikiri kuna jambo pia sio bure ,stay tuned
 
Kutwa kuzungumzia maisha ya wengine. Mara walimu Wana shida,mara Askari magereza Wana shida. Hakuna thread nyingine za kuandika zaidi ya maisha ya watu tena wasiokuhusu?!!
 
Mapato... WaTanzania wengi kazini unao waona Wana maisha ya kati au maisha mazuri, inatokana na janja janja za ukwapuzi au pesa za safari za hapa na pale mikoani kikazi, lakini askari magereza ana mbinu gani za ujanja ujanja? Anasafiri kikazi kwenda wapi? Sababu kubwa ni hizo mbili tu
 
Kutwa kuzungumzia maisha ya wengine. Mara walimu Wana shida,mara Askari magereza Wana shida. Hakuna thread nyingine za kuandika zaidi ya maisha ya watu tena wasiokuhusu?!!
Kichambo cha asubusubuhi !!!!.
 
Inasikitisha na inaumiza haswa halafu kibaya zaidi wanawaona wenzao jwtz wana shine kila siku,jwtz wanajengwa makazi ya kisasa+allowance.
Magereza na Polisi bado wanakaa kwenye kota za mabati
Buguruni pale kaah[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…