Kwanini Askofu Mwamakula, Bagonza, Pengo hawapiganii ukomo wa uongozi kwenye makanisa yao?

Kwanini Askofu Mwamakula, Bagonza, Pengo hawapiganii ukomo wa uongozi kwenye makanisa yao?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?

N. B:

Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
 
Uongozi wa kanisa si sawa na uongozi wa chama cha siasa. Mifumo tofauti kabisa
Catholic church lina utaratibu wake, na upo wazi, lutheran lina taratibu zake. Na si kweli hna limit kwneye makanisa

Tatizo hujui jinsi mifumo ya makanisa inafanya kazi
 
Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?

N. B:

Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
hao wote ni chadema siyo watumishi wa Mungu na sasa wanapata shida maana waliamini chadema nisehemu sahihi wao kupiga helka na sasa chadema imeparanganyika wanaona aibu sana yaani hata ukiwaangalia wanavyoongea sasa hivi yaani mtu anacheka kama anataka kulia fikiria sura inakuwaje hapo kichekeshoa
 
Laana hiyo mkuu.

Soma post yangu kisha mtafute mtembea kwa miguu jirani yako akueleweshe namaanisha nini...

Kwa hivyo Mungu kwako ni bulicheka siyo?
Hao wanadamu tu mmoja anakula senene, mwingine wa Kyela huko anafakamia parachichi
 
Back
Top Bottom