Kwanini Askofu Mwamakula, Bagonza, Pengo hawapiganii ukomo wa uongozi kwenye makanisa yao?

Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?

N. B:

Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
where is your point!
 
Hivi maaskofu huwa wanapigiwa kura?
 
Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?

N. B:

Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Small/little minds always discuss people
 
Jitahidi kuficha ujinga. Kwa hiyo Uaskofu ni cheo? Kwamba Pengo anatakiwa kustaafu uaskofu wake? Unaelewa unachokizungumza?
 
Usipende kutafuniwa kila kitu, hasa kama una mke
usijaribu kuchanganya siasa (tawala za wanadamu) na mambo ya kiroho. Sisi tuliookolewa na Bwana Yesu huwa hatuna ukomo wa kumtumikia Mungu. ni hadi kifo. Angalia mitume walivomtumikia Mungu hadi ilipofika muda wa kutwaliwa na kwenda kukaa na Bwana milele. Chunguza kanisa la MATENDO YA MITUME lilivyoenenda. Hata hizi dini zinazoweka muda wa kustaafu katika kumtumikia Mungu hazijui nini maana ya kumtumikia Mungu. ni dini tu ! hopeless!!!! Once Mungu anapoiweka huduma yake ndani ya mtu, huduma hiyo haikomi, huendelea mpaka kifo. huduma kuu tano, mitume, manabii, wainjilisti, wachungaji na walimu. EFESO 4:11

Angalia mahala mtume Paulo anaongea na Timotheo kwa habari ya kifo chake, Bado alikuwa katika utumishi.

2 Timotheo 4 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁵ Bali wewe, uwe na kiasi katika mambo yote, vumilia mabaya, fanya kazi ya mhubiri wa Injili, timiliza huduma yako.
⁶ Kwa maana, mimi sasa namiminwa, na wakati wa kufariki kwangu umefika.
⁷ Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda;
⁸ baada ya hayo nimewekewa taji ya haki, ambayo Bwana, mhukumu mwenye haki, atanipa siku ile; wala si mimi tu, bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake.
 
usijaribu kuchanganya siasa (tawala za wanadamu) na mambo ya kiroho. Sisi tuliookolewa na Bwana Yesu huwa hatuna ukomo wa kumtumikia Mungu. ni hadi kifo. Angalia mitume walivomtumikia Mungu hadi ilipofika muda wa kutwaliwa na kwenda kukaa na Bwana milele. Chunguza kanisa la MATENDO YA MITUME lilivyoenenda. Hata hizi dini zinazoweka muda wa kustaafu katika kumtumikia Mungu hazijui nini maana ya kumtumikia Mungu. ni dini tu ! hopeless!!!! Once Mungu anapoiweka huduma yake ndani ya mtu, huduma hiyo haikomi, huendelea mpaka kifo. huduma kuu tano, mitume, manabii, wainjilisti, wachungaji na walimu. EFESO 4:11

Angalia mahala mtume Paulo anaongea na Timotheo kwa habari ya kifo chake, Bado alikuwa katika utumishi.
Hatukubali, haiwezekani mtu yule yule amekaza sura kila siku
 
Back
Top Bottom