Kwanini Askofu Mwamakula, Bagonza, Pengo hawapiganii ukomo wa uongozi kwenye makanisa yao?

Kwanini Askofu Mwamakula, Bagonza, Pengo hawapiganii ukomo wa uongozi kwenye makanisa yao?

Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?

N. B:

Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Hivi na Ask. Pengo nae hamtaki Mbowe?. Vipi yule askofu KKKT nawe aliyechangishiwa michango kanisani na Mbowe mpaka akawaarika hata COVID 19.
 
Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?

N. B:

Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Machawa na manyumbu mmeshikwa pabaya
 
Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?

N. B:

Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Njaaa 😆😆😆😆😆😆

Watajwambia ni Imani wamewekwa na Mungu 🤣🤣
 
Umekosea sana, kuchanganya swali kwa makanisa yaliyo tofauti mfumo wake.

Kupataikana Kwao kunatofaitiana, baina ya kanisa Moja na lingine.

Mimi nakusaidia kuhusu kanisa katoliki.Katika kanisa katoliki Kuna ukomo wa uongozi kwa Maaskofu.

Mfano Pengo uliomtaja amestaafu tayari na nafasi yake imechukuliwa na Mhashamu Askofu Yuda Thadei Ruwaichi.

Ila pamoja na kustaafu uongozi anaendelea kutoa huduma za kiroho kama kiongozi Mstaafu, anaweza kuhojiwa na vyombo vya habari kama Askofu.
Utaratibu wa kustaafu ulio rasmi ni Askofu kutimiza miaka 75 Toka alipoteuliwa kuwa Askofu,tchukulie alipoteuliwa alikuwa na miaka 48, maanake atakuwa kiongozi wa jimbo kwa Muda wa miaka 27.

Miaka miwili ilibaki karibu kutimiza miaka 75, kiutaratibu anapaswa kuandika barua kwenda Makao makuu ya Papa ,kuwajulisha japo wanakuwa wanjua .

Namna ya pili Askofu anaweza kwa sababu nzito ya maadili au kukiuka kanuni na mambo ya imani ambayo kanisa Katoliki linasimamia anaombwa KUJIUZURU KWA HESHIMA, badala ya kusubiri kufukuzwa au kuondolewa madarakani kwa fedheha.

Mfano Askofu Mkuu wa Jimbo Moja ambalo hapa Tanzania, alijiuzuru mwenyewe akiwa na miaka 68 ,yaani miaka saba kabla ya kutimia miaka 75.

Pia Askofu wa Jimbo Katoliki lililopo Kilimanjaro alijiuzuru pia kabla ya muda wake.

Nyingine inaweza kuwa sababu serious ya afya Askofu aweza kujiuzuru au akapewa msaidizi yaani Askofu MWANDAMIZI , mwenye haki ya kurithi pindi Askofu akistaafu.

Kifupi ni hivyo kuhusu kanisa Katoliki, mambo mengi kuhusu uteuzi yanafanyika Vatican Roma baada ya vetting ya Hali ya juu ya Siri scereto.

Ndio maana unaona Serikali inapata taabu kuingilia upatikanaji wa Maaskofu wa kanisa Katoliki.

Tofauti na makanisa mengine kama Lutheran serikali binao uwezo wa kuingilia uchaguzi na kufanya ashinde wanayemtaka na ashindwe wasiyemtaka.

Mfano ni kuanguka kwa Dr Benson Bagonza kwenye uchaguzi ulipopita Kanisa la KKKT, ambapo alikuwa ashinde, jina lake likaondolewa, lakini wajumbe walimpigia kura japo hakuwepo kwenye ballot paper.

Bagonza alikataliwa kwa sababu ya misimamo yake, unyoofu wake, na spana zake.

Kwa kanisa Katoliki itoshe kwa hayo kwa ufupi.Kwa madhehebu mengine Sina weledi, wajuvi watakuja kuongezea nyama.

Nimelizungumzia hilo kwa kanisa Katoliki kwa vile tu mimi ni Mkatoliki najua taratibu kadhaa za wakatoliki.

Aksante.🙏🙏
 
Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?

N. B:

Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Kwa Catholics ni ranks kama Lieutenant, Captain, Colonel....... mpaka unafika General(four 🌟 General) labda mpaka Field-Marshal.
Hizo ranks huwa hazina ukomo.
 
Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?

N. B:

Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Askofu ni kaka balozi au mchungaji ama Padri yaani ataendekea kuitwa hivyo maisha yake yote.
 
Ila wao wanataka kutumia imani ku shape politics
Viongozi wa kidini hutumiwa sana na wanasiasa lakini rulling party(CCM) hukasirika sana na hata kuwatishia pale wanapo-support opposition parties.
Screenshot_20241129-140243.jpg
 
Sijui kwa makanisa mengine but kwa Catholic sio Cheo ni mojawapo ya Madaraja katika utumishi wa Kanisa...na mpaka uje kuwa Askofu wa Catholic lazima uwe mtu mzima... sidhani kijana wa miaka 35 anaweza kuwa Askofu kirahisi hivyo... majority wanapata Daraja Hilo kuanzia miaka 45...na ukiwa Askofu sio lazima uwe kiongozi wa Jimbo ,ingawa kila kiongozi wa Jimbo lazima awe Askofu ref: Askofu kilaini. Na maaskofu au cardinals ambao ni viongozi wa majimbo ufanya Kazi hizo mpaka umri wa kustaafu na kuwaachia maaskofu au cardinals wenye umri mdogo, mfano mzuri niRuwaichi na Pengo na Rugambwa aliye take over Tabora...
 
Uongozi wa kanisa si sawa na uongozi wa chama cha siasa. Mifumo tofauti kabisa
Catholic church lina utaratibu wake, na upo wazi, lutheran lina taratibu zake. Na si kweli hna limit kwneye makanisa

Tatizo hujui jinsi mifumo ya makanisa inafanya kazi
Kanisa kato linaongozwa kidictator mkuu. Ukihoji tu unakuwa excommunicated. Ndo mana Mungu ameamua kulisambaratisha kipitia mtumishi wake Mwamposa
 
Back
Top Bottom