Kwanini Askofu Mwamakula, Bagonza, Pengo hawapiganii ukomo wa uongozi kwenye makanisa yao?

Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?

N. B:

Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Tafuta kwanza taarifa sahihi juu ya utaratibu wa kiuongozi wa hayo makanisa. Inaonyesha hujui chochote kabisa, bilabila. Umetumia hisia bila facts.
 
Kanisa ni mali ya Mungu na ndiyo maana kwenye Aagano la Kale katika watoto kumi na mbili wa Yakobo makuhani walitoka tu kwa Lawi(Levi) na si vingenevyo.Mipango ya Mungu usiifananishe na utawala wa nchi au Taifa.
1 Wakorintho 2 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁶ Walakini iko hekima tusemayo kati ya wakamilifu; ila si hekima ya dunia hii, wala ya hao wanaoitawala dunia hii, wanaobatilika;
⁷ bali twanena hekima ya Mungu katika siri, ile hekima iliyofichwa, ambayo Mungu aliiazimu tangu milele, kwa utukufu wetu;
⁸ ambayo wenye kuitawala dunia hii hawaijui hata mmoja; maana kama wangaliijua, wasingalimsulibisha Bwana wa utukufu;

naona huyo ndg anataka kuchanganya mambo ya mbinguni na ya duniani. ya duniani yote ni ubatili!
 
Tafuta kwanza taarifa sahihi juu ya utaratibu wa kiuongozi wa hayo makanisa. Inaonyesha hujui chochote kabisa, bilabila. Umetumia hisia bila facts.
Usinipangie
 
1 Wakorintho 2 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
⁶ Walakini iko hekima tusemayo kati ya wakamilifu; ila si hekima ya dunia hii, wala ya hao wanaoitawala dunia hii, wanaobatilika;
⁷ bali twanena hekima ya Mungu katika siri, ile hekima iliyofichwa, ambayo Mungu aliiazimu tangu milele, kwa utukufu wetu;
⁸ ambayo wenye kuitawala dunia hii hawaijui hata mmoja; maana kama wangaliijua, wasingalimsulibisha Bwana wa utukufu;

naona huyo ndg anataka kuchanganya mambo ya mbinguni na ya duniani. ya duniani yote ni ubatili!
Mbona wenyewe wanachanganya?
 
Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?

N. B:

Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Askofu wa kanisa katoliki hana ukomo, hapigiwi kura.
 
Mbona wenyewe wanachanganya?
ndio hivyo wengine sio watumishi wa Mungu bali wanatumikia matumbo yao. Akiongea-ongea akionekana ana impact, anatupiwa 150m eidha na Abduli ama mama yake direct, hivyo usiumize sana kichwa na anayejiita askofu, mchungaji, padre, ... waangalie kwa tahadhari sana. Fil 3:19

Wafilipi 3 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹⁸ Maana wengi huenenda, ambao nimewaambieni mara nyingi habari zao, na sasa nawaambia hata kwa machozi, kuwa ni adui za msalaba wa Kristo;
¹⁹ mwisho wao ni uharibifu, mungu wao ni tumbo, utukufu wao u katika fedheha yao, waniao mambo ya duniani.
²⁰ Kwa maana sisi, wenyeji wetu uko mbinguni; kutoka huko tena tunamtazamia Mwokozi, Bwana Yesu Kristo;
 
Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?

N. B:

Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Unashinda kwenye jukwaa la siasa kisha unata uone mahuburi ya askofu? Ukitaka picha za mahubiri yake nenda kanisani kwake ukampige picha.
 
Hana kanisa huyo
 
Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?

N. B:

Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Uache ujinga Clip zipo nyingi sana a ukitaka mafundisho yake nenda kanisani

Ushawahi kuona Askofu ambaye hachungi Kondoo wake?

Speaking of aliupata wapi uchungaji wake, ndio inaonesha ni jinsi gani hufanyi utafiti wako vizuri, utagundua kuwa alisomea kabisa theolojia na kaupata kwa sababu na uwezo sio ndumba na figisu
 
Na hayo manguo ananunuaga kariakoo
 
Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?

N. B:

Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Kuifananisha mifumo ya taasisi za kidini na vyama vya siasa, ni dalili ya wazi kabisa ya ukosefu wa akili ya kufikiri.
 
hao wote ni chadema siyo watumishi wa Mungu na sasa wanapata shida maana waliamini chadema nisehemu sahihi wao kupiga helka na sasa chadema imeparanganyika wanaona aibu sana yaani hata ukiwaangalia wanavyoongea sasa hivi yaani mtu anacheka kama anataka kulia fikiria sura inakuwaje hapo kichekeshoa
Ni dhambi kubwa
 
Mbona askofu Malasusa na mchungaji Masanja hawaongelei suala la CCM kuchapisha fomu moja ya urais ?
images (49).jpeg
 
Back
Top Bottom