Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Wewe bila shaka una uelewa duni.Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?
N. B:
Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Ukasisi ni daraja wala siyo cheo cha kiutawala. Daraja haliondoki labda uvunje nadhiri.
Vyeo ndani ya kanisa vinapigiwa kura, na mabadilishano yapo wazi. Unajua Rais wa TEC huongoza kwa muda gani?