Wewe bila shaka una uelewa duni.Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?
N. B:
Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Jibu swali else huna point kwenye swali lakoMpaka umri huo hujui kuuliza maswali
Kila taasisi ina katiba yake na uongozi wa kidini ni tofauti na taasisi zingine za kisiasa na kijamii.Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?
N. B:
Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Wafukuzwe, hata Yesu hakukaa muda wote huoWewe bila shaka una akili ndogo na uelewa duni.
Ukasisi ni daraja wala siyo cheo cha kiutawala. Daraja haliondoki labda uvunje nadhiri.
Vyeo ndani ya kanisa vinapigiwa kura, na mabadilishano yapo wazi. Unajua Rais wa TEC huongoza kwa muda gani?
Acha kuingiza imani na sii hasaa katika kapu la sii hasaa.Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?
N. B:
Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Hivyo vinaweza kuingia ila sii siiihasaaa kuingia kwayo.Ila wao wanataka kutumia imani ku shape politics
Hivyo siyo vyeo bali ni madaraja. Kwa mfananio, ni sawa kama ilivyo kwa jaji. Ukishafikia hatua ya kuitwa jaji, utabakia hivyo maisha yako yote, labda ukiuke kiapo chako. Ndiyo maana Warioba japo hahukumu kesi yoyote, anaendelea kuwa jaji. Tofauti na jaji ambaye ni msajili wa mahakama. Anaweza kuondolewa kwenye nafasi ya kuwa msajili wa mahakama lakini ataendelea kuwa jaji.Kwa hiyo taasisi ikiwa na mifumo sio kosa
Bahati nzuri ujinga huwa haujifichi, sasa Jaji anawezaje kuwa Msajili? Warioba sio Jaji, ni utapeli tu, basi niwekee hukumu yake moja hapaHivyo siyo vyeo bali ni madaraja. Kwa mfananio, ni sawa kama ilivyo kwa jaji. Ukishafikia hatua ya kuitwa jaji, utabakia hivyo maisha yako yote, labda ukiuke kiapo chako. Ndiyo maana Warioba japo hahukumu kesi yoyote, anaendelea kuwa jaji. Tofauti na jaji ambaye ni msajili wa mahakama. Anaweza kuondolewa kwenye nafasi ya kuwa msajili wa mahakama lakini ataendelea kuwa jaji.
Bishops are responsible for providing pastoral governance for a diocese. They are considered successors to the Apostles and are teachers of doctrine, priests of worship, and ministers of governance.
Sijui kwa wengine, lakini katika Roman Catholic, Uaskofu ni daraja, sio cheo cha kukipata kwa kupigiwa kura. Kwa hiyo katika list hiyo nadhani muondoe Cardinal Pengo, maana kwa RC uaskofu ni wa kudumu, anaweza tu akastaafu utendaji kuwa Askofu wa JimboHivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?
Chiembe ukiwekwa pamoja na kasuku utabishana naye siku nzima bila kujitambua kama unabishana na wewe mwenyewe.Bahati nzuri ujinga huwa haujifichi, sasa Jaji anawezaje kuwa Msajili? Warioba sio Jaji, ni utapeli tu, basi niwekee hukumu yake moja hapa
Wtz kwa udumavu wa akili hatujambo.Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?
N. B:
Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Ujinga mtupu. Swali hilo hilo waulize ccmHivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?
N. B:
Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.
Wakati ule mnamtetea Mbowe kubaki kwenye uwenyekiti mlikuwa mnasema uwenyekiti wa chama cha upinzani sio sawa na Urais. Anatakiwa Mwenyekiti mwenye maono hata kama atakaa miaka mia! Unaukumbuka msemo wa "Mwamba Tuvushe"!? Ahahahahaha!!!Kanisa sio kama chama bwana chawa
Umebanwa haja kubwa Kwa kufakamia misosi ya misibani!!Hivi hawa jamaa ni maaskofu wa maisha? Mwamakula japo haijulikani hata uaskofu aliuokotea wapi, lakini kila siku yupo. Hayo makanisa hayana watu wengine?
N. B:
Mwenye clip ya Mwamakula akihubiri injili, nina milioni yake.