Sasa hiyo mipaka ni nani anaiweka?Je kama mimi nikisema hata kumtaja Magufuli ni dhambi kwangu basi nao uwe mpaka kwa wote au?
Unajua nyie waislam hata concept ya free speech ni kama ngeni sana kwenu hamuielew.
Na ni aina ya thinking ya authoritarian/totalitarian society yoyote.
Mimi nasema kila mtu anaruhusiwa kutoa mawazo yake bila kujali mipaka as long as havunji sheria za jukwaa.
Wewe kama yanakukera unamblock tu ila sio kumzuia eti asiyatoe, huo ni udikteta.
So hapa tunadiscuss ideas sio watu.