Kwanini baadhi ya wadada ukiwatongoza, wanajibu kikatili bila sababu?

Uandishi wako tu unaonenakana wewe ni "Simp". Kwanza sifa ya mwanaume hata ukitoswa na mwanamke hutakiwi kulalamika. Nasisitiza soma nilichoandika uelewe, dont be a Simp and Dick-Driven.
Bro hii ni forum huku hakuna rule ndo uzuri wa jamiiforum shuleni tulazimishwe kutumia rule kuandika research na huku tena hapana

mbona unatumia weak point kumjudge mtu, mim kwa umri wangu sio wa kubabaishwa na wanawake na ni wapi nimelalamika kuhusu wanawake mbona unanlisha maneno kukuambia tu money is not everything or gurantee ndo unantuhumu nalalamika kuhusu wanawake
 
We ndo ujifunze kuheshimu watu unawaambia watafute hela huku huwajui, yaan tanzania mtu hakujui lakin ana act kama anakujua
Unajiona jinsi ulivyo hamnazo? unalaumu mtu anayeambiwa atafute hela kisa hajulikani,
Wewe unajua mimi nipo wapi? au umekariri kua member wote wa JF wapo bongo?

Mleta mada nimemwambia tafuta hela na amejibu vizuri tu,sijui wewe kimekuwasha nini na kuanza kujipitisha kwangu! tambaa mbele wewe,acha kunishobokea sawa Binti.
 
Mkuu mimi siwez kukutukana au kukutolea maneno ya kashfa sababu nikukutana tu nitakua kwenye group lako
Hakuna sehemu mim nimekuambia utafute hela na siwez kukuambia sababu sikujui na hujawahi kuja nililia shida na ninakuheshimu

Ila wewe unanikomalia nitafute hela na unijui, plus umeniita mama, binti ila mim kamwe nitajikita kwenye mada
 
Jinga sana wewe yaani unashauri mtu atafute hela ili hiyo hela imsaidie kunasa mademu?

Wazazi wako wana hasara sana, na hata wewe Mwenyewe naona akili zako za kupoteza tu
Dada mbona makasiriko? au ndio umekuja na ID nyingine? kwenye hiyo comment uliyoniquote,kuna sehemu nimemwambia mleta mada matumizi ya hela atakazotafuta?

Unawashwa?
 
Wapi nimekulazimisha? Mbona unajishtukia Mkuu? Kwa hali hii ninayoiona utapigwa sana chini na madem sababu hata hapa inadhihirisha kwamba wewe ni Weak hujiamini. Kujiamini ndio sifa namba moja ya mwanaume aliyekamilika.
 
Kupigwa chini ndo nin, mkuu mim sio mwoga wa maisha na kamwe siogopi kufail ndo tofauti yangu mim na wewe
 
Kaa pembeni wewe huna hoja,punguza ukimbelembele.
 
Wapi nimekulazimisha? Mbona unajishtukia Mkuu? Kwa hali hii ninayoiona utapigwa sana chini na madem sababu hata hapa inadhihirisha kwamba wewe ni Weak hujiamini. Kujiamini ndio sifa namba moja ya mwanaume aliyekamilika.
Hako kajamaa kanababaikia sana watu humu na hakana hoja ya maana zaidi ya kurukaruka hovyo tu kama Kangaroo.
 
Kama kila anayakupa challenge unamtukana na kumuita majina ya ajabu ajabu kwenye haya maisha utapata sana tabu
Challenge gani uliyonipa hapa wewe zaidi ya kuandika pumba tu? ndio maana kila mtu anakushangaa kwa hoja zako za hovyo ambazo hazina hata kichwa wala miguu.
 
Challenge gani uliyonipa hapa wewe zaidi ya kuandika pumba tu? ndio maana kila mtu anakushangaa kwa hoja zako za hovyo ambazo hazina hata kichwa wala miguu.
Kwani kila mtu akinishangaa inanipunguzia nin, niogope nawakati kila mtu anatumia majina fake sintakua mwendawazimu
 
But women have no love.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…