Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Unaweza kuwa na hela na bado ukawa Simp au Dick-Head so haisaidii chochote. Build your frame!We ndo ujifunze kuheshimu watu unawaambia watafute hela huku huwajui, yaan tanzania mtu hakujui lakin ana act kama anakujua