Kwanini baadhi ya wadada ukiwatongoza, wanajibu kikatili bila sababu?

Maandishi yako yanawakilisha jinsi ulivyo,
Empty set,wazazi wako wana hasara kubwa sana.
Siunaona mambo ya wazazi yanatoka wapi mim sikujui kamwe sitakaa niwatukane wazazi wako nawaheshimu sana, hata wewe nakuheshimu na naheshimu kile unachopost sababu kwenye maisha hatuwez fanana kwenye fikra

Ndo maana mpaka sahivi siwez kukuita majina ya ajabu ajabu sababu nakuheshimu na hii ni kutokans na ukweli kwamba ukiwa mtu mzima unakua na busara
 
Una akili nzito sana wewe aisee,kusema wazazi wako wana hasara kubwa sana juu yako ndio kuwatukana? Binti punguza ujinga basi,nimewapa pole kwa kua na mtoto kama wewe asiye na uwezo wa kufikiri zaidi ya kubwabwaja hovyo.
Aliyekwambia kua nahitaji heshima yako ni nani? acha kujipendekeza wewe.
 
Mim sina uwezo wa kufikiri lakin sijawahi kuja hata kukulia shida ya kifikra, narudia tena usimdharau mtu usiyemjua huku tunatumia id fake changamoto ya jamiiforum kila mtu anavimba
 
Pesa pesa pesa mzee siku ukija gundua huo ndo uchawi wa mabinti utakuwa umechelewa sana
 
Lakini kwa mwaka anaweza akawa anawatafuna kama mia
 
Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha mtu, ikiwa ni pamoja na wadada, kujibu kwa ukali wakati wanapotongozwa. Baadhi ya sababu hizo ni:

1. Kutokuwa na hisia za kimapenzi kwa mtu anayetongoza
2. Kujisikia kutotamanika au kudharauliwa na mtu anayetongoza
3. Kupata kero ya mara kwa mara kutokana na watu kutowaheshimu na kuwatongoza kwa njia isiyo ya heshima
4. Kukosa kujiamini na kuogopa kukataliwa kwa hiyo hujibu kwa ukali ili kujikinga na majeraha ya kihisia
Ni muhimu kutambua kwamba kila mtu ana haki ya kukataa au kukubali mtu anayemtongoza kwa njia inayomfaa na kwamba kukataliwa sio lazima iwe ni kitendo cha kibinafsi dhidi ya mtu anayetongoza. Ni vizuri kuheshimu maamuzi ya wengine na kuendelea kuheshimiana kwa heshima na upendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…