Kwanini baadhi ya watu wanaonekana kuwa serious muda wote hata kama wana furaha?

Labda kweli [emoji2][emoji2]...ila ndo unielekeze sasa apart from pombe na mvinyo natakiwa kufanyaje maana hadi watu sometimes hua wananishangaa ujue [emoji23]
Haha umenikumbusha kuna jamaa mmoja tulisoma naye O Level, alikuwa anapenda sana kutabasamu na kuchekacheka hadi wenzie wakawa wanamuita Smiling Machine, yani yule alikuwa hata akisimulia kitu anasimulia huku anacheka tu
 
Angekua wa kike ni mimi huyu kabisa najiona๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Haha umenikumbusha kuna jamaa mmoja tulisoma naye O Level, alikuwa anapenda sana kutabasamu na kuchekacheka hadi wenzie wakawa wanamuita Smiling Machine, yani yule alikuwa hata akisimulia kitu anasimulia huku anacheka tu
Yuko wapi huyo mwanakucheka
 
Kuwa funny ni tofauti na kuwa serious, we upo funny
Hua natamani niwe serious hivyo walau kwa masaa machache tu..maanake hata kwenye vikao vya watu very sensitive hua naulizwa kitu gani kinakufanya utabasamu na sijui kwanini napenda kucheka
 
Ni ushamba tu, watu wa hivyo hawana kabisa exposure, trust me, mostly inachangaiwa pia na utoto wao walipata shida sana au waliteseka sana au wana madhila ya walikotoka, unakuta mtu anakwambia eti unajua mimi nikiwa mdogo nilitembea peku kwenda shule hadi std 4 ndio nikaanza vaa viatu, au sijui mama yangu alikuwa muuza uji, so what? Inanihusu nini sasa? Au ulitaka nasi tukae peku hadi std 4 ili iweje? Au unatuonyesha kuwa unajua sana shida au? Ni ushamba tu mtu wa hivyo mpotezee kabisa na usipende mazoea nae kabisa, ushamba mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ