Kwanini baadhi ya watu wanaonekana kuwa serious muda wote hata kama wana furaha?

Sura za kazi Ila hizo ndio sura za stand up comedy akitumia vizuri muonekano anakusanya maokoto yaan kuna watu sura zao ukimwangalia tu unacheck yaan mtu hajasema chochote ukimwangalia tu sura yake ushacheka sasa aanze kuongea utavunjika mbavu Ila ndio hawapendi kuonekana hivyo yaan ukimcheka anaona km umemdharau kumbe mwonekano wake unachekesha tu

Mcheck huyo NYANI yaan mmetuona NYANI kweli?
 
Hua natamani niwe serious hivyo walau kwa masaa machache tu..maanake hata kwenye vikao vya watu very sensitive hua naulizwa kitu gani kinakufanya utabasamu na sijui kwanini napenda kucheka๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ
Tafuta mmakonde upendane nae,ndani ya mwezi tu utakua serious.
"Jokes"
 
kama mimi, watu wanakuona mpole ila hawakujui tu....

tena hadi wanakudharau
 
Wallahi sintaweza kwanza kwenye maisha yangu sikumbuki kama niliwahi kupiga mwanamke, mara ya mwisho kupigana nilipigana na rafiki yangu nikiwa darasa la 3 aliniibia saa yangu
Huwezi kunipiga ๐Ÿ˜‚. Nitakubembeleza wewe
 
Huwezi kunipiga ๐Ÿ˜‚. Nitakubembeleza wewe
Yaani Ukiwa dem wa kikuria lazima wazee wako waniite kijijini waweke kikao cha ukoo kuniuliza kwanini sikupigi? Watanishtaki kwa kosa la kukunyanyasa kwakua sikupigi, maana usipompiga mwanamke wa kikuria wazee wake wanasema unamnyanyasa mtoto wao bora arudi nyumbani
 
Wala hata mimi sio mkurya
 
Kabisa asee, japo jamaa nilichokuwa namkubali kumkuta amekasirika ni nadra sana, alikuwa anacheka na kila mtu tu
Ndo inavyokuaga, ila tatizo ni watu wanakua wamekuzoea sana hadi kero sometimes...siku ukijifanya uko serious wanajua kabisa kama unawaigizia๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ